johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Umoja ni Ushindi πMhmhhh
Mkuu unawavunjia Heshima wananchi waliojitokeza kwa wingi bila kujali itikadi za vyama vyao.Kiukweli CCM imepania sana hakuna mtu anabaki bila kujiandikisha
Sidhani kama wapinzani watapata hata Mtaa mmoja tu jijini DSM
Sabato Njema π
Salamu ya chama πΌπMkuu unawavunjia Heshima wananchi waliojitokeza kwa wingi bila kujali itikadi za vyama vyao.
Sielewi kwanini unasema ni Wana CCM.
Tunaomba utupe evidence, vinginevyo tukupuuze kama wanavyopuuzwa wanasiasa wengine wasio itakia mema Nchi yetu.
Ipi, "kigumu chama cha mapinduzi "?Salamu ya chama πΌπ
Chama cha Chama na Wananchi au....?Salamu ya chama πΌπ
Weka picha otherwise ni propaganda za kuja kuiba kura hapo mbele kwa kusema chadema hawajajiandikisha.Kiukweli CCM imepania sana hakuna mtu anabaki bila kujiandikisha
Sidhani kama wapinzani watapata hata Mtaa mmoja tu jijini DSM
Sabato Njema π
Hao wanaojiandikisha na kuandikishwa na CCM si wanaweza kupigia kura Chadema.Kiukweli CCM imepania sana hakuna mtu anabaki bila kujiandikisha
Sidhani kama wapinzani watapata hata Mtaa mmoja tu jijini DSM
Sabato Njema π
Kiukweli CCM imepania sana hakuna mtu anabaki bila kujiandikisha
Sidhani kama wapinzani watapata hata Mtaa mmoja tu jijini DSM
Sabato Njema π
Hivi wanachama wa chadema si ni kama wanajisumbua tu ,uahalisia halisi ulionekana siku alipoitisha Maandamano huyu Mzee MboweWeka picha otherwise ni propaganda za kuja kuiba kura hapo mbele kwa kusema chadema hawajajiandikisha.
Msingeiba kura wala kutumia majeshi kuwadhiti Chadema.Kiukweli CCM imepania sana hakuna mtu anabaki bila kujiandikisha
Sidhani kama wapinzani watapata hata Mtaa mmoja tu jijini DSM
Sabato Njema π
Umewaona wote wamebeba kadi za ccm kwenye foleni za kujiandikisha?Kiukweli CCM imepania sana hakuna mtu anabaki bila kujiandikisha
Sidhani kama wapinzani watapata hata Mtaa mmoja tu jijini DSM
Sabato Njema π
Muongo!Kiukweli CCM imepania sana hakuna mtu anabaki bila kujiandikisha
Sidhani kama wapinzani watapata hata Mtaa mmoja tu jijini DSM
Sabato Njema π
Huyu jamaa ni mjinga kabisa.Mkuu unawavunjia Heshima wananchi waliojitokeza kwa wingi bila kujali itikadi za vyama vyao.
Sielewi kwanini unasema ni Wana CCM.
Tunaomba utupe evidence, vinginevyo tukupuuze kama wanavyopuuzwa wanasiasa wengine wasio itakia mema Nchi yetu.