JF mnampa airtime kubwa sana huyu mpuuzi sijui law maslahi gani huko maana habari zake zimejaa upotoshaji mkubwaKiukweli CCM imepania sana hakuna mtu anabaki bila kujiandikisha
Sidhani kama wapinzani watapata hata Mtaa mmoja tu jijini DSM
Sabato Njema π
Hujaona Kigoma msururu mrefu mtaani kwa Makamu wa Rais Daktari Mpango πππJF mnampa airtime kubwa sana huyu mpuuzi sijui law maslahi gani huko maana habari zake zimejaa upotoshaji mkubwa
Aisee.duru zinaharifu mawakala wa chadema moshi mjini wamekosa chakula cha mchana siku ya jana.
ruzuku hazionekaniAisee.
Hawana Hela walizokwapua Benki kama wagawa pikipiki.
Ruzuku ya mbolea? Au unamaanisha nini?ruzuku hazionekani
Mbweni wanaishi Viongozi wengi wa Chadema akina Halima Mdee, Boni Yai, Esther Bulaya, Dr Slaa nk.....nk πππWewe mzee johnthebaptist hapo Mbweni kwa yule rafiki yako si karibu na ununioπππππ
Pale ununio...ππππMbweni wanaishi Viongozi wengi wa Chadema akina Halima Mdee, Boni Yai, Esther Bulaya, Dr Slaa nk.....nk πππ
Pale Ununio wapo James Mbatia na Mzee Marando ππ
Kunduchi yuko mzee wa Tukutuku Daktari Kigwangalla π
Kwa meku James Mbatia na Kipi Warioba πππPale ununio...ππππ
Vijana wenu mmewatoa mabwepande sasa mmewahamishia ununioππKwa meku James Mbatia na Kipi Warioba πππ
Bwashee pale Ununio Kwa Msomali ni barabarani kabisa na ni Njia inayotumiwa na viongozi tangu enzi za hayati KijaziVijana wenu mmewatoa mabwepande sasa mmewahamishia ununioππ
Dhumuni lako ni nini hasa?Kiukweli CCM imepania sana hakuna mtu anabaki bila kujiandikisha
Sidhani kama wapinzani watapata hata Mtaa mmoja tu jijini DSM
Sabato Njema π
Huyu bwege anachofanya ni sawa na kupiga punyeto tu.JF mnampa airtime kubwa sana huyu mpuuzi sijui law maslahi gani huko maana habari zake zimejaa upotoshaji mkubwa
chakula sio kitu cha kumnyima mtuRuzuku ya mbolea? Au unamaanisha nini?
UpotoshajiDhumuni lako ni nini hasa?
Wewe umejianfikisha ama mhamasishaji tu?Kiukweli CCM imepania sana hakuna mtu anabaki bila kujiandikisha
Sidhani kama wapinzani watapata hata Mtaa mmoja tu jijini DSM
Sabato Njema π