Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Kama alishindwa miaka ile nini atakachoweza sasa hivi?
Ule ujio wa Undertaker Kamanda RC wa zamani DSM Paul Makonda mapkezi yake ya leo ni warning sign.
Yalikuwa Kiduchu sana hayaendani na promo.
Kama anaweza kujipima basi ni leo.
Waswahili husema Nyota njema huonekana asubuhi.
Wanaccm wamechoka sana. Wanaamini Makonda pekee ndiye atakayeifufua ccm iliyokufa.