WanaCCM mbona kila kitu tunamwachia Makonda ataweza?

Bush Dokta

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2023
Posts
24,831
Reaction score
45,154
Kama alishindwa miaka ile nini atakachoweza sasa hivi?

Ule ujio wa Undertaker Kamanda RC wa zamani DSM Paul Makonda mapkezi yake ya leo ni warning sign.

Yalikuwa Kiduchu sana hayaendani na promo.

Kama anaweza kujipima basi ni leo.

Waswahili husema Nyota njema huonekana asubuhi.

Wanaccm wamechoka sana. Wanaamini Makonda pekee ndiye atakayeifufua ccm iliyokufa.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Uzuri wa Makonda ni MBUNIFU wa mambo(Strategic) na ni mfuatiliaji. Kwa kifupi huyu jamaa hana mbambamba.
Alishindwani nini enzi za jpm ambacho taweza leo kipindi ambacho hata wanaccm hawampi sapoti? Ukiachana na chawa wachache wanaowinda teuzi?
 
Alishindwani nini enzi za jpm ambacho taweza leo kipindi ambacho hata wanaccm hawampi sapoti? Ukiachana na chawa wachache wanaowinda teuzi?
Ukiona mwana ccm hampi SAPOTI ujue alishamharibia madudu yake. Sasa anaona mipango yote itaenda arijojo jembe ameingia 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…