WanaCCM mnatupa kazi ngumu kuwatetea, mkitemwa na system yenu chamani

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
Mkiwa CCM tukiongelea haki mnatuona mafala

Shetani akiwataka na kuwateka mnaanza kutaka huruma yetu wapenda haki na Chadema

Sisi kwakuwa ni Watanganyika, nyie ni wenzetu tunawatetea tu

1. Polepole
Alikuwa mwenezi wa CCM ila Sasa katwekwa, hakuna mtu wa CCM anayeshiba ufisadi ana habari nae

2 Godfrey Mwambe
MwanaCCM kindaki ndaki amewahi kuwa waziri wa viwanda, Leo ametekwa na anatetewa na wakili wa Chadema, Hekima Mwasipu

3 Mzee Malisa
Ni kada wa Chama, Sasa ametekwa na hakuna mtu wa kwenye system anahangaika nae

4. Hayati Lowasa
Alikuwa waziri mkuu
Mfumo ulivomkataa alitetewa na sisi chadema

5. Emmanuel Nchimbi
Huyu ni Makamu wa Rais.
Leo anachambwa na kutukanwa na mashehe ubwabwa na kupewa tuhuma za kipumbavu.
Polisi hawaheshimu cheo chake, hata kushindwa kuwakamata hawa mashehe

6. Jenestha Mhagama (RIP)
Alikuwa waziri wa afya
Inasemekana alivokosa uteuzi, hakuwa na furaha

Hapa sijawazungumzia akina Tulia, Bashungwa, Bashe n. K hawa wako angle mbaya mno, CCM hawatakiwi, huku Kwa wapenda haki hatujawapokea vizuri

1765452226368.jpg
 
1765476031851.jpg
 
Bila kumsahau Kigogo-January.
 
Back
Top Bottom