Inashangaza sana kuona Hawa wazee ambao walikuwa wameshika nafasi za juu za uongozi wakamaliza vipindi vyao bila kuacha legacy yoyote wanatutisha na kutukemea.
Dunia inabadilika hivyo nasi inabidi tubadilike. Na ili tubadilike lazima mtazamo, mtindo na mfumo wa uongozi uende tofauti na tuliouzoea.
Nimestushwa na makalipio ya mzee Makamba kwa Dkt. Bashiru na Kikwete kwa Chalamila. Kwanini wanakuwa kimbelembele? Nani aliyewaaminisha kuwa wanachokiamini wao ndiyo sahihi?
Watuache, muda wao umepita wapumzike wale pension zao.
Vinginevyo 2025 tutagawana mbao za chama.