Huyu Kikwete sasa atatuharibia chama, maana kila anayetaka kuyapata madaraka inabidi ajinasibishe naye. Kinyume chake ni kutafuta nongwa.na hakuna kijana yeyote mwenye umri wa kustaarabika anayeweza kushindana na kikwete
Vijana wote ndani ya CCM washakuwa machawa....Inashangaza sana kuona Hawa wazee ambao walikuwa wameshika nafasi za juu za uongozi wakamaliza vipindi vyao bila kuacha legacy yoyote wanatutisha na kutukemea.
Dunia inabadilika hivyo nasi inabidi tubadilike. Na ili tubadilike lazima mtazamo, mtindo na mfumo wa uongozi uende tofauti na tuliouzoea.
Nimestushwa na makalipio ya mzee Makamba kwa Dr. Bashiru na Kikwete kwa Chalamila. Kwann wanakuwa kimbelembele? Nani aliyewaaminisha kuwa wanachokiamini wao ndiyo sahihi?
Watuache, muda wao umepita wapumzike wale pension zao.
Vinginevyo 2025 tutagawana mbao za chama.
Kwa mtindo huu vijana wa ccm tutarajie kunyanyasika na kuhojiwa kama ChalamilaVijana wote ndani ya CCM washakuwa machawa....
Wazee washarudi wale kwa kasi kubwa...fanya uchawa kwa wazee mambo yako yanyooke ewe kijana wa CCM.
Sawa Mwenyekiti na Katibu ni Vijana wa until Gani? Acha kuzarau Wazee. Viongozi wa Juu wa Chama ni under 40? Jifunze Diversity Management. Wazee ni Chachu na Baraka Kwa taifa kuwa nao.Inashangaza sana kuona Hawa wazee ambao walikuwa wameshika nafasi za juu za uongozi wakamaliza vipindi vyao bila kuacha legacy yoyote wanatutisha na kutukemea.
Dunia inabadilika hivyo nasi inabidi tubadilike. Na ili tubadilike lazima mtazamo, mtindo na mfumo wa uongozi uende tofauti na tuliouzoea.
Nimestushwa na makalipio ya mzee Makamba kwa Dr. Bashiru na Kikwete kwa Chalamila. Kwann wanakuwa kimbelembele? Nani aliyewaaminisha kuwa wanachokiamini wao ndiyo sahihi?
Watuache, muda wao umepita wapumzike wale pension zao.
Vinginevyo 2025 tutagawana mbao za chama.
Nenda huko kaunde Chama chako ,sisi tunawaheshimu wazee wetu wastaafu,unda chama chako ujaze wavuta bangi pekeeHuyu Kikwete sasa atatuharibia chama, maana kila anayetaka kuyapata madaraka inabidi ajinasibishe naye. Kinyume chake ni kutafuta nongwa.
Hatuwezi kufika kwa namna hii.