Baba Kabunyee
Member
- Jul 30, 2024
- 11
- 14
Mwambie tunampenda tumempigia kura za kutosha wapinzani wake wako jela basi awashe Internet tunataka kuandamana kwa ajili ya kumpongezaTunashukuru Mungu nchi imepata Rais, na maandamano yameisha. Sasa ni Rais kuapishwa, kuunda serikali na itakayowatumikia watu wote kwa bidii...
Wewe wasemaTunashukuru Mungu nchi imepata Rais, na maandamano yameisha. Sasa ni Rais kuapishwa, kuunda serikali na itakayowatumikia watu wote kwa bidii...