Wanaccm wenzangu twendeni na Profesa Kitila Mkumbo 2025

Wanaccm wenzangu twendeni na Profesa Kitila Mkumbo 2025

Jimbo lake tu la ubungo kama kalitelekeza
Huyo mzee wa xtrail urais wapi na wapi!

Ova
 
Mkiwa mmezidiwa na hoja mnakimbilia huko mnawaona watu wote wanaopishana na mawazo yenu ni Chadema!
Mimi nimekataa kuwa mtumwa wa chama chochote cha siasa hivyo nipo huru kukosoa au kupongeza yeyote.
Wewe Ni chadomo bhna ova
 
Mama Samia huyu Kitila Mkumbo ana tamaa sana ya madaraka.Hapa ametuma machawa wake ili wailete hii thread.Muangalie sana huyu usidhani haijui hii thread anaijua sana.Kuwa makini nae huyu ndo wale wapinzani wako ndani ya CcM
 
Ni Jimbo lake tu la ubungo kama kalitelekeza
Huyo mzee wa xtrail urais wapi na wapi!

Ova
Ni msomi wa kiiwango kikubwa kubwa Zaid anajenga hoja ikaeleweka ingawa.nae Ni msheniz tu alipitisha dpw kuitetea ulagia naamini siyo akioizake
 
Mama Samia huyu Kitila Mkumbo ana tamaa sana ya madaraka.Hapa ametuma machawa wake ili wailete hii thread.Muangalie sana huyu usidhani haijui hii thread anaijua sana.Kuwa makini nae huyu ndo wale wapinzani wako ndani ya CcM
Wee chadomo
 
Nimeona kabisa kwa jicho la tatu kuwa anayetufaa hivi sasa kutupeperushia bendera ktk uchaguzi ujao awe Profesa Kitila Mkumbo ,

Huyu atatufaa sana na ni mtu wa hoja zilizo shiba haswa mfano hili la muuungano na chokochoko zake atalimudu vzr na tutavuka salama kizingiti hiki cha muungano

Pili rasillimali za Tanganyika zitakuwa salama mikono mwake

Siyo kwa ubaya ila huyu bwana ana akili kubwa mno na maono anayo

Mungu ampe nguvu huyu anatufaa haswa

Kwa Sasa safarini kueleke Singida Manyoni
0786757564
K
Huyo mpuuz wa ubungo ambaye amelitelekeza jimbo lake?
 
Ni msomi wa kiiwango kikubwa kubwa Zaid anajenga hoja ikaeleweka ingawa.nae Ni msheniz tu alipitisha dpw kuitetea ulagia naamini siyo akioizake
Mm namjuwa huyo ktambo mzee wa xtrail ,huyo uongozi hawezi huyo anafaaa kubaki tu darasani
Afundishe tu

Ova
 
Huyo mpuuz wa ubungo ambaye amelitelekeza jimbo lake?
Acha kuwaita watu wapuuz elimu yake huna na ukoo wenu nzima hauna elimu hyo yake acha dharau kijana Kama wee utaweza kufanya kitu nenda kagombee Kama utafanya kitu
 
Sitaki kuamini, nchi imekosa kabisa mtu wa kuweza kuukwaa urais.
Duuh hii hatarii
 
Back
Top Bottom