Wanaccm wenzangu twendeni na Profesa Kitila Mkumbo 2025

Kitila anatufaa sna Sana. Namkubali binafsi na mm nimepita kweny mikono yake 🤣 Niko fiti ,timamu Kama yeye
Tumeamua kwenda na Mama 100 mwenyewe akisema imetosha tutakwenda na Lisu.Hao vitoroboto wakaongoze familia zao.
 
Hao waliojiandika kwenye mawe na makontena unadhani hawataulinda muungano?
 
Hamtaa aminj kitakacho tokeaa fomu zitakuwa nne lamz apitie mchakato mzima wa chama Cha ccm hakuma mbeleko habebwi mtu yeye amlizie kipondo Cha magu akaemde zake kizimkazi
Tupo na mama Samia suluhu hassani na ndie ajaye utake usitake..

Na tutawashuhurikia nyuma ya keyboards tutakufikia utake usitake 😊😊😊😊😊

Nayasema haya kwa uzuri TU
 
Kitila huyuuu ambaye anasema mkataba wa DPWORLD ni miaka 13 wakati mkataba wenyewe unaonesha ni wa mile??mhhhh
 
Kitila Mkumbo wa Chadema ndiye alikuwa mtu. Huyu wa sasa ni chawa aliyejitoa ufahamu. Sisemi hivyo kwa sababu alienda CCM, la hasha. Ni kwa sababu ya haya anayosema na kufanya. Pamoja na kwenda zake CCM, kama angetulia na kuwa mtu wa hoja za maana na siyo chawa labda angekubalika.
 
Stupid ideas
 
Dr wa PhD kbsa ya darasani ,Nina umahiri kwenye eneo la utafiti na data analysis
Ulitumia data gani kufikia conclusion ya kwamba Prof Kitila anaweza kuwa Rais? Maana ubunge wa Ubungo tu hatoboi mwaka 2025
 
Ulitumia data gani kufikia conclusion ya kwamba Prof Kitila anaweza kuwa Rais? Maana ubunge wa Ubungo tu hatoboi mwaka 2025
Atatoboa bhnaa kitakachotumika kuwapeleka bungeni Ni gia ya kimagufuli fuli
 
Atatoboa bhnaa kitakachotumika kuwapeleka bungeni Ni gia ya kimagufuli fuli
Kama comments zako ndiyo hizi naanza ku doubt hiyo PhD yako na taasisi elimu iliyokupa. Isije ikawa iko kama ya late Lyatonga Mrema au Mbunge Musukuma wa Geita

PhD holder hawezi ku argue kwa namna shallow na vague hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…