Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Mkuu mtoe Lisu hapo.Lisu alikua anapigania mabeberu na yuko huko kwa mabeberu anaendelea kiwapigania.
Acha utoto dogo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mtoe Lisu hapo.Lisu alikua anapigania mabeberu na yuko huko kwa mabeberu anaendelea kiwapigania.
Nadhani wanapigania haki itendeke katika demokrasia.Mimi huwa nawashangaa sana wale wafuasi na wapambe ambao hupigana mpaka ngumi eti wakimpigania mwanasiasa wa Tanzania!
Mtu anapata majeraha ya mwili eti akizipigania kura za wanasiasa halafu kesho mwanasiasa huyo anaanza ''kura bata na familia yake'' wakati yeye akiuguza majeraha au yuko gerezani!
Wajinga ndio waliwao!
Kama ni hivi kwanini Lissu au Maalim seif wasirudi CCM wapewe uwaziri ''wale bata'' kuliko kupewa makesi kila siku na kumaliza pesa mahakamani!!Hakuna mwanasiasa Tanzania anayejitoa kwa ajili wa wananchi kabla ya tumbo lake na familia yake.
Hoja ya kusema mwanasiasa fulani Tanzania amekufa au kufubgwa kwa sababu ya kutetea wananchi nchini ni hoja yenye matobo kwenye nguvu za hoja. Hawa wanafungwa au kuuwawa kwa kutetea wanachoendelea kukipata kwa njia ya siasa kwa manufaa kwanza yao na familia zao.
Siasa nchini ni kazi ya kipato na pia ni biashara!
Wanasiasa wa Tanzania ni wanafiki tu.
misriNa wewe vipi, nchi gani wapumbavu wake wameisha?
chademmaCdm ni wajinga sana, chama bado kichanga hakiwezi kuwa kinafanya utafiti? Mtapokea matapishi hata lini? Mnatukatisha tamaa, mtabaki kusema mmeibiwa kura lkn mnajiharibia. Sisi wengine tunategemea pembeni ila movie zenu Mwl wenu ni Mr Bean
Si kweli bwana. Kwenye mgawo wa wapumbavu, kila nchi ilikumbukwa. Tunazidiana idadi tu.misri
WanaCCM hao wamedai walipatwa na hasira na kufanya maamuzi yasiyo na busara, baada ya hasira zao kushuka wamegundua walichofanya hakifai na wameamua kurudi tena CCM kwa sababu CCM ina uwanja mpana wa mawazo na kutatua migogoro.
Kuna baadhi ya watu na hata wanaJamiiforums walimuonya Heche kuhusu uamuzi wa kuwapokea wanaCCM bila hata ya kufanya uchunguzi kama ilivyotokea kwenye kipindi cha ‘’Mafuriko ya Lowassa’’ lakini hakusikia.
Kama ni hivi kwanini Lissu au Maalim seif wasirudi CCM wapewe uwaziri ''wale bata'' kuliko kupewa makesi kila siku na kumaliza pesa mahakamani!!Hakuna mwanasiasa Tanzania anayejitoa kwa ajili wa wananchi kabla ya tumbo lake na familia yake.
Hoja ya kusema mwanasiasa fulani Tanzania amekufa au kufubgwa kwa sababu ya kutetea wananchi nchini ni hoja yenye matobo kwenye nguvu za hoja. Hawa wanafungwa au kuuwawa kwa kutetea wanachoendelea kukipata kwa njia ya siasa kwa manufaa kwanza yao na familia zao.
Siasa nchini ni kazi ya kipato na pia ni biashara!
Wanasiasa wa Tanzania ni wanafiki tu.
kwanini tuzidi sasaSi kweli bwana. Kwenye mgawo wa wapumbavu, kila nchi ilikumbukwa. Tunazidiana idadi tu.
Mbuzi jike mnajishebeduaaaaMkuu mtoe Lisu hapo.Lisu alikua anapigania mabeberu na yuko huko kwa mabeberu anaendelea kiwapigania.
Sio Tanzania pekee sema dunia yote!Tanzania wapumbavu hawataisha kamwe.
Kwahiyo kipindi anafukuzwa bungeni kisa kupinga muswada wa mambo ya nishati na rasilimali (Gesi) julai 30, 2015 alikua anapigani mabeberu??Mkuu mtoe Lisu hapo.Lisu alikua anapigania mabeberu na yuko huko kwa mabeberu anaendelea kiwapigania.
Siku 7 zilizopita kuna thread ililetwa hapa ikitoa taarifa kuwa wanaCCM wote wa tawi la Kiterere kata ya Bumera katika jimbo la Tarime wamejiunga CHADEMA baada ya aliyekuwa kiongozi wa kijiji kwa tiketi ya CCM kukatwa jina lake katika kura za maoni ya kuchagua wagombea kwa tiketi ya CCM.
Thread hii hapa;
GONGALINK>>>Heche aendelea kuibomoa CCM huko Tarime
WanaCCM hao wamedai walipatwa na hasira na kufanya maamuzi yasiyo na busara, baada ya hasira zao kushuka wamegundua walichofanya hakifai na wameamua kurudi tena CCM kwa sababu CCM ina uwanja mpana wa mawazo na kutatua migogoro.
Kuna baadhi ya watu na hata wanaJamiiforums walimuonya Heche kuhusu uamuzi wa kuwapokea wanaCCM bila hata ya kufanya uchunguzi kama ilivyotokea kwenye kipindi cha ‘’Mafuriko ya Lowassa’’ lakini hakusikia.
Hii tabia ya viongozi wa vyama vya upinzani ya kusubiri wanaCCM wakatwe kwenye kura za maoni halafu wawapokee itaendelea kuwatafuna mpaka pale watakapojua msingi wa tatizo.
VIDEO YA WALIORUDI CCM WAKISHANGILIA NA KUTOA SABABU ZA WAO KURUDI CCM
Taarifa mbaya Sana kwa wale Waliomuona Mr Heche Kama shujaa wao. Ila Mimi niliwaambia kuhusu kuwapokea hao watu lakini watu kutoka ufipani wakaja wakanitolea povu haya Sasa hata Wiki haijaisha tayari Mmeshakipata mlichokuwa mnakitafuta. Chama Cha kijani kitaendelea kucheza na akili yenu mpaka pale Mtakapopata pata akili na nawambia Msipokuwa makini Membe ndo atakuwa Mgombea urais Kupitia chama chenu baada ya kumpokea Kama shujaa then uchaguzi ukiisha Atarudi nyumbani kwao Kama mzee mwenye nywere nyeupe alivorudi.Siku 7 zilizopita kuna thread ililetwa hapa ikitoa taarifa kuwa wanaCCM wote wa tawi la Kiterere kata ya Bumera katika jimbo la Tarime wamejiunga CHADEMA baada ya aliyekuwa kiongozi wa kijiji kwa tiketi ya CCM kukatwa jina lake katika kura za maoni ya kuchagua wagombea kwa tiketi ya CCM.