M Mtoto wa Shule JF-Expert Member Joined Nov 16, 2014 Posts 15,133 Reaction score 11,914 Dec 17, 2024 #21 macho_mdiliko said: Mambo ya kizamani sana haya. Click to expand... Mambo gani hayo?
M Makupa JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 6,822 Reaction score 4,034 Dec 18, 2024 #22 Mtoto wa Shule said: Mambo gani hayo? Click to expand... Hawataki walioshtuka kuhusu saccos wasihame πββοΈπββοΈπββοΈ
Mtoto wa Shule said: Mambo gani hayo? Click to expand... Hawataki walioshtuka kuhusu saccos wasihame πββοΈπββοΈπββοΈ
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Dec 18, 2024 #23 Hao ni CCM tupu, weka orodha ya majina yao
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Dec 18, 2024 #24 johnthebaptist said: Arusha ni kama Mbeya Wenyeji wanatawaliwa na Wageni Arusha ya Wachaga na Mbeya mjini ni ya Wanyakyusa ππ₯ Click to expand... Umeanza ukabila wako
johnthebaptist said: Arusha ni kama Mbeya Wenyeji wanatawaliwa na Wageni Arusha ya Wachaga na Mbeya mjini ni ya Wanyakyusa ππ₯ Click to expand... Umeanza ukabila wako
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Dec 18, 2024 #25 imhotep said: CCM kilichobakia ni Wizi wa kura na kuengua wagombea kutumia Mapolisi JW nk. Na hizi Cheap politics za maigizo . Hawana hata ubunifu. Click to expand... Ni matapeli tupu, mimi nipo Arusha sijaona hao walio hama
imhotep said: CCM kilichobakia ni Wizi wa kura na kuengua wagombea kutumia Mapolisi JW nk. Na hizi Cheap politics za maigizo . Hawana hata ubunifu. Click to expand... Ni matapeli tupu, mimi nipo Arusha sijaona hao walio hama
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Dec 18, 2024 #26 johnthebaptist said: Arusha ni kama Mbeya Wenyeji wanatawaliwa na Wageni Arusha ya Wachaga na Mbeya mjini ni ya Wanyakyusa ππ₯ Click to expand... Mbona hata wazaramo wanatawaliwa na watu wa bara na Dodoma hakuna hata mgogo mmoja pale town?
johnthebaptist said: Arusha ni kama Mbeya Wenyeji wanatawaliwa na Wageni Arusha ya Wachaga na Mbeya mjini ni ya Wanyakyusa ππ₯ Click to expand... Mbona hata wazaramo wanatawaliwa na watu wa bara na Dodoma hakuna hata mgogo mmoja pale town?
M missongika JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 341 Reaction score 409 Dec 18, 2024 #27 Ukizoea kuhama kwa sababu ya kutokubaliana na viongozi, basi utakuwa mtu wa kuhama kila leo!