Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Mambo gani hayo?Mambo ya kizamani sana haya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo gani hayo?Mambo ya kizamani sana haya.
Hawataki walioshtuka kuhusu saccos wasihame 🙆♂️🙆♂️🙆♂️Mambo gani hayo?
Umeanza ukabila wakoArusha ni kama Mbeya Wenyeji wanatawaliwa na Wageni
Arusha ya Wachaga na Mbeya mjini ni ya Wanyakyusa 😄🔥
Ni matapeli tupu, mimi nipo Arusha sijaona hao walio hamaCCM kilichobakia ni Wizi wa kura na kuengua wagombea kutumia Mapolisi JW nk. Na hizi Cheap politics za maigizo .
Hawana hata ubunifu.
Mbona hata wazaramo wanatawaliwa na watu wa bara na Dodoma hakuna hata mgogo mmoja pale town?Arusha ni kama Mbeya Wenyeji wanatawaliwa na Wageni
Arusha ya Wachaga na Mbeya mjini ni ya Wanyakyusa 😄🔥