WanaChadema mbona mnapenda malalamiko yasiyo na mashiko. Kuna ubaya gani kiti cha rais kupelekwa kanisan? Mmekosa hoja.

WanaChadema mbona mnapenda malalamiko yasiyo na mashiko. Kuna ubaya gani kiti cha rais kupelekwa kanisan? Mmekosa hoja.

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Mnabwatuka hovyo.

Mbona hata wananchi wa kawaida huwa wanaenda viti vyao makanisani.

Hapa kuna shida gani? Hii ni non sense.
👇🏿
Screenshot_20221014-182854.jpg
 
Anapita mule mule alimopita uncle.

Kanisani mkuu ni mmoja tu, Mungu baaas!!!
 
Nakumbuka mwaka fulani kanisa fulani walitaka kuweka kiti cha prezda wakakataliwa wakambiwa kanisani wote ni sawa
 
Back
Top Bottom