chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Vikao vya Siri vya wanachadema vinaendelea chini ya uratibu wa viongozi wao wakuu.
Lengo na wao wajichanganye katika mkutano wa Waziri Mkuu na wafanyabiashara wakiwa na ajenda zao za kisiasa.
Maofisa wa Chadema makao makuu ambao hawajawahi kuuza hata senene au chumvi, wameandaliwa kukaa mstari wa mbele ili kuwasilisha ajenda zao za kisiasa.
Baadhi ya wafanyabiashara halali nao wanajipanga Kila mtu aende ne leseni yake, na kwamba watafanya ukaguzi mlangoni ili kujiridhisha kwamba anayeingia kweli ni mfanyabiashara.
Mgomo huo wa wafanyabiashara Sasa umechukua sura ya jinai na uhalifu kwa kutishia wale ambao hawataki kugoma, na wamekuwa wakiwaita ni Wana ccm. Baadhi ya wanaotoa vitisho kwa wafanyabiashara ni wanachadema ambao wako maeneo ya ilala.