Tetesi: Wanachadema wajiandaa kuvamia mkutano wa Waziri Mkuu wakijifanya na wao wafanyabiashara, lengo kuvuruga

Tetesi: Wanachadema wajiandaa kuvamia mkutano wa Waziri Mkuu wakijifanya na wao wafanyabiashara, lengo kuvuruga

Mleta mada imekuwaje sasa huko mkutanoni?

Basi itoshe kusema huu ndo mwisho wako wa kufikiri

Kuna vitu waweza fanya kama kuleta hii mada hapa badala uonekane ni namna gani ulivyo na uwezo wa kiali matokeo yake unajidhalilisha.
 
Back
Top Bottom