WanaCHADEMA wamethibitisha dhahiri kuwa wao na chama chao ni CCM B

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Unajiuliza swali mmoja tu la msingi Abdulhaman Kinana kuwa makamu mwenyekiti CCM bara kuna faida kwao?

Kwani nini wafurahia na kukenua meno?

Kinana kuwa makamu wa CCM bara kuna manufaa gani kwao?

Nyuma ya pazia kuna faida kubwa kwao. Maana kwa miaka sita CCM A haukuwapa nafasi ya kufanya siasa njaa za kilaghai.

Sasa wanakenua mambo kwa kuwa CCM A itawapa ahueni ya kufanya siasa za kilaghai?
 

Upewe tuzo
 
wenye chama wamechukua lichama lao nyie 'washamba' na 'mangedere' wengine kwisha habari yenu, yaani sasa ni usawa wa mguu pande mguu kulia nyuma geukaa, hahaaaaaa haaaaa!. kila siku tulikuwa tunawaambiaa CCM ina wenyewee hamsikii, komeni
 
Chadema haijawahi kuwa mpinzani wa kweli…ndio maana Dr.Slaa akawaachia mavumbi aliposhtuka ana dili na genge la wahuni akaungana na mzalendo mwenzake JPM…
 
Mtoa hoja huu usemaji wa CDM uliteuliwa lini?mkuu ongelea mawazo yako sio kutuchanganya wote wakati hujapewa madaraka hayo, mijadala iwe fair lakini yenye ukweli
 
tena kuna kila dalili baada ya mamayenu kukimbizwa madarakani na wana mtandao wa kifisadi mgomgea wenu atakuwa anayefuata ni membe au rizione, yaani nyie Sukuma gang ni wakuja na washamba flani…...
 

Maji yamezidi unga?

Ya CCM Dodoma hayatuhusu yetu ni Katiba Mpya
 
Nimegundua juzi kumbe kuna wanaojiita "wapinzani" lakini wana vikundi vyao wanavipenda ndani ya CCM, "wapinzani" wanakwambia heri huyu kuliko yule wanasahau hao wote wanatoka CCM, bado tuna safari ndefu sana.
 
Nimegundua juzi kumbe kuna wanaojiita wapinzani lakini wana vikundi vyao wanavipenda ndani ya CCM, wapinzani wanakwambia heri huyu kuliko yule wanasahau hao wote wanatoka CCM, tuna safari bado ndefu sana.

Nadhani zaidi ni katika kumtakia adui njaa
 
Sasa tuambie Kwako faida ni ipi,au hata hufahamu,kukusaidia,Kwako Yale maguvu yaliyokuwa yanatumiwa na tembo kuua sisimizi,Sasa yataelekezwa kulima mashamba,hivyo mavuno yatamsaidia mkulima na wote wataishi Kwa amani sisimizi atakula atasaza na tembo atashiba na kula kivulini 😜
 
Mlizoeshwa siasa za vita na mwendazake,kwani Kinana siyo Mtanzania???Na chama kinachotawala Tanznia ni chama gani kama siyo ccm,Kinana kuwa kiongozi isikupe shido ni kiongozi wa nchi kama viongozi wengine.
 
Chadema haijawahi kuwa mpinzani wa kweli…ndio maana Dr.Slaa akawaachia mavumbi aliposhtuka ana dili na genge la wahuni akaungana na mzalendo mwenzake JPM…
Dr Slaa ni nani vile katika siasa???? Kuna chama chochote cha siasa aliwahi kukianzisha??? Wewe huoni kuwa yule ni mwanasiasa malaya malaya.
 
Hivi unafikiri aliyewapa jina la nyumbu alikosea mkuu??[emoji28][emoji28]wazoee tu.
 
Kuna muda huwa unajionesha ugonjwa wa sotoka ulivyokuathiri.Hivi unajua kutofautisha kati ya kuchekelewa na kuchekwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…