Wanachadema wengi tunapiga mahesabu ya kupata ubunge 2025. Tukimwagwa na wananchi tusingizie kuibiwa kama 2020

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Tatizo kubwa makamanda wenzangu huwa wanawaza pesa tu.

Mahesabu sasa ni kurudi mjengoni. Kisa tu ukiwa mbunge kuna pesa lukuki za bure.

Badala ya kuwekeza kwa kuanza kujenga imani kwa wanannchi ili angalau tukubalike. Tumewekeza kwenye maandamano njaa.

Tukimwagwa. Mayowe kibao kama 2020.
 
Kwani hujui ubunge nao ni ajira tena inayolipa vizuri zaidi ya ajira nyingine?
 
Wewe si ulitangaza kuwa ma nia ya kuita waandishi wa habari kwa ajili ya kubwaga manyanga!? Sasa umesahau nini nyuma mpaka uzidi kung'a g'ania tena ukamanda wako feki!?
 
Wewe si ulitangaza kuwa ma nia ya kuita waandishi wa habari kwa ajili ya kubwaga manyanga!? Sasa umesahau nini nyuma mpaka uzidi kung'a g'ania tena ukamanda wako feki!?
Nilibadili gia angani
 
We shetani si ulitangaza haupo CHADEMA imekuwaje tena?
 
hofu yangu ni kutekana na kumalizana wenyewe kwa wenyewe tu kisa chenyewe ni kugombea kitu ambacho huwezi kushinda, hapo ndipo nachoka zaid πŸ’
 
Mtachina zaidi
 
ACT na CCM wao hawajimwagi kutaka Ubunge. Sijui akili gani hizi za kijinga.
 
Cha msingi ni ulinzi wa kura na vituo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…