Pre GE2025 Wanachama, Viongozi CHADEMA wagawanyika kambi tofauti, hofu ya mpasuko yaongezeka

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hili gazeti la mwananchi limekuwa la kisenge sana, ni lini na wapi Mbowe amesema anagombea uenyekiti?
 
Wakuu niwaambie tu Mbowe hatoboi hata iweje .

Tundu Lissu awekeze nguvu katika kulinda kura tu Kazi ya kuwashawishi wajumbe hatuachie sisi.


Mnyika hakikisha unatafuta ukumbi ambao una Generator ikiwezekana kura zipigwe mchana
 
Nasema kweli. Baadhi ya Wajumbe watakaopigia kura nimewauliza na wamesema TAL anatosha.
 
Kutokana na sababu hizo, Chadema ilipanga kufanya uchaguzi mkuu Desemba hii, lakini suala la ukata bado limekikwamisha na sasa umesogezwa tena hadi Januari au Februari mwakani.
Kuna jamaa anafikiri kuongoza chama ni lelemama, hapa si angezama mfukoni akakikopesha chama badala ya kupiga makelele na kulalamika kila kukicha.
 
Wakuu niwaambie tu Mbowe hatoboi hata iweje .

Tundu Lissu awekeze nguvu katika kulinda kura tu Kazi ya kuwashawishi wajumbe hatuachie sisi.


Mnyika hakikisha unatafuta ukumbi ambao una Generator ikiwezekana kura zipigwe mchana
wajumbe ni 1200, lisu akitoboa walau kwa 50 ni bahati sana.
 
 
wakitaka chadema kife basi lisu apewe uenyekiti hii ni kwa sababu.
1.Lisu hana utulivu
2.Lisu ni mropokaji.
3.Lisu hana uvunilivu
4.Lisu hana uungwana
5.Lisu pumzi imekata kutokana na majeraha.
Lisu Hana haiba ya uongozi na siyo mtendaji pia. Ni mtu wa malumbano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…