LGE2024 Wanachama wa CCM Dar waandamana Ofisi ya Mkoa wakidai kuna Rushwa na wizi wa Kura katika Kura za Maoni

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607

Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutoka maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Dar es Salaam wamendamana wakiwa na mabango katika ofisi za makao makuu ya chama kwa kile wanachodai kuwepo kwa wizi wa kura na rushwa katika uchaguzi wa kura za maoni.

Wanachama hao kutoka Chanika, Buguruni, Tandika, na Ukonga nje ya Ofisi za makao makuu ya chama Mkoa wamesema fujo zimekithiri sana katika uchaguzi kutokana na wagombea ambao muda wao umeshapita na kukosa ushawishi kutaka kurudi kwenye madaraka pamoja pamoja na rushwa iliyokithiri.

“Fujo zimekithiri sana kwa sababu ya wagombea walio tangulia walishakosa sifa za kurudi kwenye madaraka yao ambayo wao wameyang’ang’ania lakini kitu cha pili ni rushwa kwanzia ngazi ya tawi kata mpaka wilaya. Imefika wakati wagombea hawa wamepewa nguvu bila sababu za msingi” Amesema mwanachama wa CCM

Aidha itakumbukwa kwamba fujo hizo katika kura za maoni zimekuwa zikiripotiwa mara kwa mara katika mikoa mbalimbali nchini ikiwepo Mkoani Manyara pamoja na Mkoani Kigoma.

Chanzo: EastAfricaTv
 
Safi sana,
 
Chawa watakatana mapanga mwaka huu
 
😆😆😆😆😆
 
1730384680948.jpeg

Abbas Zuberi Mtemvu mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam

"CCM DAR ES SALAAM YATANGAZA KUANDAMANA KUTOKANA NA UTEKELEZAJI WA DMDPII" - Abbas Mtemvu Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Daresalam ametangaza kuwa Chama hicho kimeandaa maandamano ya amani mwishoni mwa mwezi Nov mwaka huu 2024 ,ili kumpongeza Rais wa Tanzania
 
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutoka maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Dar es Salaam wamendamana wakiwa na mabango katika ofisi za makao makuu ya chama kwa kile wanachodai kuwepo kwa wizi wa kura na rushwa katika uchaguzi wa kura za maoni.

Wanachama hao kutoka Chanika, Buguruni, Tandika, na Ukonga nje ya Ofisi za makao makuu ya chama Mkoa wamesema fujo zimekithiri sana katika uchaguzi kutokana na wagombea ambao muda wao umeshapita na kukosa ushawishi kutaka kurudi kwenye madaraka pamoja pamoja na rushwa iliyokithiri.

“Fujo zimekithiri sana kwa sababu ya wagombea walio tangulia walishakosa sifa za kurudi kwenye madaraka yao ambayo wao wameyang’ang’ania lakini kitu cha pili ni rushwa kwanzia ngazi ya tawi kata mpaka wilaya. Imefika wakati wagombea hawa wamepewa nguvu bila sababu za msingi” Amesema mwanachama wa CCM

Aidha itakumbukwa kwamba fujo hizo katika kura za maoni zimekuwa zikiripotiwa mara kwa mara katika mikoa mbalimbali nchini ikiwepo Mkoani Manyara pamoja na Mkoani Kigoma.

Chanzo: EastAfricaTv
Chama cha majambazi!
 
Hivi kweli bado Kuna watu Wana akili timamu ni wanachama wa ccm???
 
Na huu ni uchaguzi mdogo tu, je mwakani kwenye uchaguzi mkuu???
 
Back
Top Bottom