Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Arusha, ambao walidaiwa kuzua vurugu wakati wa uchaguzi ndani ya chama, wamejibu tuhuma hizo kwa kusema kwamba taarifa zilizotolewa na Mwenyekiti wa Chama hicho Kanda ya Kaskazini na Mbunge wa zamani wa Arusha Mjini, Godbless Lema, zina nia ya kuwachafua.
Lema, aliagiza wanachama wote waliofanya fujo wakati wa zoezi la uchaguzi wa ndani wa chama hicho uliofanyika mkoani humo kufukuzwa uwanachama.
PIA SOMA
+ Arusha: Lema aagiza kufukuzwa kwa Wanachama waliofanya fujo uchaguzi wa CHADEMA
+ Arusha: Lema aagiza kufukuzwa kwa Wanachama waliofanya fujo uchaguzi wa CHADEMA