Pre GE2025 Wanachama wa CHADEMA Katavi wachapana makonde, Mbowe ashutumiwa kugawa pesa kwa wajumbe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Kada Mzalendo

Senior Member
Joined
Oct 9, 2024
Posts
142
Reaction score
97
Vurugu kubwa zilizotokea Katavi katika uchaguzi wa hivi karibuni wa Chadema, zimeonesha wazi jinsi migawanyiko inavyoathiri demokrasia ndani ya chama.

Wanachama walichapana makonde na kuchaniana sare walizovaa, hali iliyopelekea kutoana damu na polisi kuingilia kati ili kutuliza machafuko.

Uongozi wa kitaifa, chini ya Mwenyekiti Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti Tundu Lissu, umeonekana kushindwa kuzuia migongano ya makundi inayozidi kuota mizizi, hali ambayo imepelekea rushwa kuwa silaha inayotumiwa na viongozi hao kuimarisha ushawishi wao kwa wanachama.

Mbowe, licha ya kutoa rushwa, anashutumiwa kutumia kiti chake cha Mwenyekiti wa Chadema kuwashinikiza wajumbe wachague viongozi anaowataka kwa maslahi binafsi.

Katika uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, Boniface Jacob alishinda kwa asilimia 77, jambo linalodaiwa kufanyika kwa maelekezo ya Mbowe, hali inayothibitisha ukandamizaji wa demokrasia ndani ya chama.

Hali hii imemchukiza Tundu Lissu, ambaye ameanza kuwachochea wanachama wanaomuunga mkono kuharibu chaguzi za ndani ya chama kwa kuanzisha fujo.

Mbowe na kundi lake wanatuhumiwa kuwapendelea wagombea kwa kutoa hongo ili kuhakikisha wanapata nafasi za juu katika chama, wakati kundi linaloongozwa na Tundu Lissu linatumia mbinu hizohizo za kutoa hongo kwa wajumbe ili kuwaweka madarakani wagombea wenye maslahi kwao.

Hii imeleta mgawanyiko mkubwa ndani ya Chadema, huku rushwa ikionekana kama kipimo cha kufanikisha uchaguzi badala ya sifa na uwezo, na kutishia hadhi ya chama kama chombo cha demokrasia, kwani vitendo vya kuhonga wajumbe vinapingana na misingi ya uwazi na haki.

Vurugu kubwa zilitokea Katavi katika uchaguzi wa hivi karibuni wa Chadema, zikionesha wazi jinsi migawanyiko inavyoathiri demokrasia ndani ya chama.

Wanachama walichapana makonde na kuchaniana sare walizovaa, hali iliyopelekea kutoana damu na polisi kuingilia kati ili kutuliza machafuko.

Uongozi wa kitaifa, chini ya Mwenyekiti Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti Tundu Lissu, umeonekana kushindwa kuzuia migongano ya makundi inayozidi kuota mizizi, hali ambayo imepelekea rushwa kuwa silaha inayotumiwa na viongozi hao kuimarisha ushawishi wao kwa wanachama.

Mbowe, licha ya kutoa rushwa, anashutumiwa kutumia kiti chake cha Mwenyekiti wa Chadema kuwashinikiza wajumbe wachague viongozi anaowataka kwa maslahi binafsi.

Katika uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, Boniface Jacob alishinda kwa asilimia 77, jambo linalodaiwa kufanyika kwa maelekezo ya Mbowe, hali inayothibitisha ukandamizaji wa demokrasia ndani ya chama.

Hali hii imemchukiza Tundu Lissu, ambaye ameanza kuwachochea wanachama wanaomuunga mkono kuharibu chaguzi za ndani ya chama kwa kuanzisha fujo.

Mbowe na kundi lake wanatuhumiwa kuwapendelea wagombea kwa kutoa hongo ili kuhakikisha wanapata nafasi za juu katika chama, wakati kundi linaloongozwa na Tundu Lissu linatumia mbinu hizohizo za kutoa hongo kwa wajumbe ili kuwaweka madarakani wagombea wenye maslahi kwao.

Hii imeleta mgawanyiko mkubwa ndani ya Chadema, huku rushwa ikionekana kama kipimo cha kufanikisha uchaguzi badala ya sifa na uwezo, na kutishia hadhi ya chama kama chombo cha demokrasia, kwani vitendo vya kuhonga wajumbe vinapingana na misingi ya uwazi na haki.
Uncertainty is also catalyzed by media, (information)
 
Watu kama hawa ukiwapa ridhaa ya kukuongoza, ujue wazi kuwa mpaka wajaze matumbo yao na yafamilia zao ndipo wawaze kuwawazia nyie mliowapa ridhaa ya kutumikia.
 
Ndio maana wenye akili Timamu na wanaojitambua wanaondoka CHADEMA na kuhamia CCM chama kilichobeba matumaini ya mamilioni ya watanzania
Kuna methali inasema, ' Penye udhia penyeza rupia'.

CCM inaua demokrasia ya nchi kwa kutumia pesa za wananchi
 
Chadema, chama kinachojinasibu kama nguzo ya demokrasia nchini kimegeuka soko la samaki. Sasa hivi kila mtu ananunua kura kwa bei anayotaka.

Huko Katavi, demokrasia ilivalishwa glovu za ngumi! Wanachama walijichanganya kwenye mazoezi ya makonde badala ya hoja.

Hali hiyo imekuwa kama tamthilia ya vita ya mafahali wawili, Mbowe na Lissu, wakichuana kutawala “soko la kura” kwa rushwa.

Hili linaonesha wazi, Chadema ni kama mtu anayesifu ugali wake kuwa mtamu, wakati hata mboga hana! Demokrasia yao ni jina tu, kwa vitendo ni kiini macho.
 
Nitasimama na Tundu Antipasi Mugwai Lissu ata nikibaki peke yangu.
 
Vurugu kubwa zilizotokea Katavi katika uchaguzi wa hivi karibuni wa Chadema, zimeonesha wazi jinsi migawanyiko inavyoathiri demokrasia ndani ya chama.

Wanachama walichapana makonde na kuchaniana sare walizovaa, hali iliyopelekea kutoana damu na polisi kuingilia kati ili kutuliza machafuko.

Uongozi wa kitaifa, chini ya Mwenyekiti Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti Tundu Lissu, umeonekana kushindwa kuzuia migongano ya makundi inayozidi kuota mizizi, hali ambayo imepelekea rushwa kuwa silaha inayotumiwa na viongozi hao kuimarisha ushawishi wao kwa wanachama.

Mbowe, licha ya kutoa rushwa, anashutumiwa kutumia kiti chake cha Mwenyekiti wa Chadema kuwashinikiza wajumbe wachague viongozi anaowataka kwa maslahi binafsi.

Katika uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, Boniface Jacob alishinda kwa asilimia 77, jambo linalodaiwa kufanyika kwa maelekezo ya Mbowe, hali inayothibitisha ukandamizaji wa demokrasia ndani ya chama.

Hali hii imemchukiza Tundu Lissu, ambaye ameanza kuwachochea wanachama wanaomuunga mkono kuharibu chaguzi za ndani ya chama kwa kuanzisha fujo.

Mbowe na kundi lake wanatuhumiwa kuwapendelea wagombea kwa kutoa hongo ili kuhakikisha wanapata nafasi za juu katika chama, wakati kundi linaloongozwa na Tundu Lissu linatumia mbinu hizohizo za kutoa hongo kwa wajumbe ili kuwaweka madarakani wagombea wenye maslahi kwao.

Hii imeleta mgawanyiko mkubwa ndani ya Chadema, huku rushwa ikionekana kama kipimo cha kufanikisha uchaguzi badala ya sifa na uwezo, na kutishia hadhi ya chama kama chombo cha demokrasia, kwani vitendo vya kuhonga wajumbe vinapingana na misingi ya uwazi na haki.

Erythrocyte angalia nyumbu wenzio halafu uje ukaze msuli kukanusha kuwa hawajagombana au useme siyo wanachama wa chadema hao
 
Adui yako muombee njaa!
 
Hii habari ikipelekwa JamiiCheck itaonekana ni uongo na uzushi. Juzi na jana habari za Lucas Mwashambwa na chiembe zimeonekana ni za uzushi. Hata hii nayo ni uzushi tu. Kuelekea uchaguzi mkuu tutaona na kusikia propaganda nyingi sana.

Ni jukumu la JamiiForums na JamiiCheck kuzimulika na kuzifuatlia hizi habari zinazoandikwa na hawa wanaojinasibu ni Wanachama wa CCM. Maana wamekuwa wakitumia muda wao na akili zao vibaya kuleta habari za Uzushi na Uongo humu ndani.

JamiiForums hii habari ina walakini na dosari nyingi sana namna ilivyowasilishwa, lindeni hadhi na heshima ya huu mtandao.

Ikagueni hii habari na muithibitishe
 
Mimi sio mwanasiasa wala mwanachama wa chama chochote cha kisiasa, na wala sio social scientist bali nipo kwenye natural sciences. Kwa mujibu wa research nazofanya mojawapo ni qualitative ambayo haihitaji empirical data, tunapata conclusions kwa human perceptions, feelings, thoughts, says, mitazamo, mazungumzo, reactions, nk nk.

Kwa ujumla utafiti wangu usio rasmi qualitatively, naona Chadema ni lidude moja kubwa mno na linalotisha sana kwa kutazama namna reactions, na qualitative data zilizopo humu JF, radioni, social media zingine, TV, blogs, Polisi, jeshini, mitaani, magengeni, chats, groups za chawas etc. hamna siku chadema haijatajwa mara 10 hadi 20! Kuanzia mama yao/yetu akilala, akiamka, akiongea, akiwaza, chadema inazunguka kichwani kwake, makondeko kule kwa landrover kila akiamka, makalai kwenye mizunguko yake ya perdiem, joni nchambi, tulizo kule dom, mcheza kiduku wa daslam, hapi, mkumbwa, cc yote ya ccm, machawa wazoefu na wapya kote mitandaoni, mwashamba, talalalah, choicevariable, yohana mbatizaji, na wengine lukuki. Polisi ndio wakisikia kuanzia kaka yao mkubwa anayevaa official dress na buti hata kwenye sherehe ikulu kama yupo vitani ndio wanapagawa kabisa na kuitana nchi nzima, na kuwasha mazimamoto yao ya kipigaji. Hili dude linawatisha sana kisaikolijia.

My conclusion kwa haya naona chadema sasa niifananishe na maji kwa kweli, yani ni lazima uyatumie tu ili uishi, kuna watu kwa kuitajataja tu wamepata uwaziri, ukuu wa wilaya, ukuu wa mikoa, ubunge, uchawa rasmi, ukatibu-kata na uenezi wa ccm, wengine wakapigwa na pesa, wengine ubalozi, wengine ucovid-19 sasa hii si sawa na maji tu wandugu??

Yani utake usitake utayanywa, usipoyanywa utayaoga, usipoyaoga utafulia, usipoyafulia utapikia, usipopikia utaoshea hata tongotongo. Ili tumbo lako lisitirike kwa sasa we andika, taja, waza, ongea kuhusu chadema, ukiongelea mwengine unafutika tu kama upepo. Relavance yako itakuja kwa kusema chademaaaaa, chademaaaa hata kama huna logic km mwashamba.

Yani kuna watu wasipotaja chadema wanapotea so ili wawe relevant lazima kila siku waje na uzi kuhusu chadema tu, gosh!! Wengine hata spelling hawajui lkn chadema ipo midomoni mwao kutwa kucha.

No offence hii ni perception ya jamii ya watanzania kuanzia mama yetu shuka chini hadi kwa machawa wa level za chini kbs kama hapa nilipo cholesamvula.
 
usijekusema ccm ndiyo wamesababisha hayo maugomvi ya chadema neve
Haswa..! Wanahusika kwa kiwango kikubwa. Pesa zinazogombewa/zinazotolewa kama rushwa ni 'fupa' walilorushiwa na ccm.
 
Andiko lako linanukia harufu ya "uchama kwanza"! 😅

Unajifanya mwanasayansi wa asili lakini ukweli ni kwamba wewe ni mjumbe wa Kamati ya Ushindi wa Chadema, unayejificha nyuma ya "fake ID" ili uendelee kulinda na kutetea chama chako kwa nguvu zote!

Unadai huna chama, lakini unasemaje unazunguka kukusanya "qualitative data" kupitia mazungumzo ya JF, mitandao ya kijamii, na polisi? Hizi ni mbinu za kisiasa za hali ya juu, ndugu!🥴

Ni wazi kabisa unatumia falsafa za maji na lugha ya hila kusifu Chadema, ili tu kusambaza agenda yako. Yani "ukitaka kunywa maji ni Chadema, kuoga ni Chadema, kufulia ni Chadema, hata tongotongo ni Chadema!" 😂

Lakini usijali, tumekugundua sasa. Hatutashangaa ukija na "theory" nyingine ya upepo wa baharini kusaidia mikutano ya Chadema kufanikiwa!

Tunakusalimu, mjumbe wa Chadema uliyejificha kwenye "natural sciences" ukifanya kazi ya "defense unit" kwa jina la utafiti wa kibunif
u! 😂😂😂
 
Nichukue nafasi hii kuwapongeza Chadema Katavi waliochapana makonde

Hongereni sana
 
Vurugu kubwa zilizotokea Katavi katika uchaguzi wa hivi karibuni wa Chadema, zimeonesha wazi jinsi migawanyiko inavyoathiri demokrasia ndani ya chama.

Wanachama walichapana makonde na kuchaniana sare walizovaa, hali iliyopelekea kutoana damu na polisi kuingilia kati ili kutuliza machafuko.

Uongozi wa kitaifa, chini ya Mwenyekiti Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti Tundu Lissu, umeonekana kushindwa kuzuia migongano ya makundi inayozidi kuota mizizi, hali ambayo imepelekea rushwa kuwa silaha inayotumiwa na viongozi hao kuimarisha ushawishi wao kwa wanachama.

Mbowe, licha ya kutoa rushwa, anashutumiwa kutumia kiti chake cha Mwenyekiti wa Chadema kuwashinikiza wajumbe wachague viongozi anaowataka kwa maslahi binafsi.

Katika uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, Boniface Jacob alishinda kwa asilimia 77, jambo linalodaiwa kufanyika kwa maelekezo ya Mbowe, hali inayothibitisha ukandamizaji wa demokrasia ndani ya chama.

Hali hii imemchukiza Tundu Lissu, ambaye ameanza kuwachochea wanachama wanaomuunga mkono kuharibu chaguzi za ndani ya chama kwa kuanzisha fujo.

Mbowe na kundi lake wanatuhumiwa kuwapendelea wagombea kwa kutoa hongo ili kuhakikisha wanapata nafasi za juu katika chama, wakati kundi linaloongozwa na Tundu Lissu linatumia mbinu hizohizo za kutoa hongo kwa wajumbe ili kuwaweka madarakani wagombea wenye maslahi kwao.

Hii imeleta mgawanyiko mkubwa ndani ya Chadema, huku rushwa ikionekana kama kipimo cha kufanikisha uchaguzi badala ya sifa na uwezo, na kutishia hadhi ya chama kama chombo cha demokrasia, kwani vitendo vya kuhonga wajumbe vinapingana na misingi ya uwazi na haki.

Ovyo sana!!!!
 
Back
Top Bottom