Wanachama wa JamiiForums waliotambuliwa kwa kuwa na michango chanya Jukwaani kwa mwaka 2024

Naunga mkono hoja
 
Chai
 
Takwimu zinaoneshwa ndani ya shindano la mwaka huu Mwl.RCT amechapisha jumla ya makala jumla ya makala 42 na kumfanya awe mshiriki mwenye machapisho mengi zaidi kwenye shindano hili la SoC la mwaka huu.
Hii ametumia kichwa chake tu kweli! Au ndo mambo ya AI!!! Kama n yy kama yy asee hongera zake duuuh!
 
Mshakula?
Subiru
Hivi izi sio kodi zetu izi mnazokunywa uko?
JF sio mamlaka ya mapato 🏃🏿
Nawapongeza kwa dhati ya moyo❤❤❤❤❤
mkuu, jf headquarters wamekutenga sijui. Unachapisha sana thread bora hapa jukwaani.
Hapana mkuu akishinda mmoja tunashinda wote... Wachachr
Madam Cute Wife with all due respect naomba urekebishe andiko lako.. Mimi si mmoja wa washindi ..!
Liko sawia lilivyo, uliwahi kushinda mshindi wa mwaka wakati fulani si ndio, wanachama walipiga kura JF ikatambua mchango wako, wengine wakishinda ni vizuri pia sababu mchango wao pia ni muhimu, sijasema wewe ni mshindi wa mwaka huu😊
Hapo imekaa sawa. Akishinda mmoja tunashinda wote
 
Hii list bila GENTAMYCINE ni batili
Nipo tayari katika List Kuu ya Mwenyezi Mungu (kwa Watu ALIOWAINUA PAKUBWA KIMAISHA kwa mwaka huu 2024) na ndiyo maana KANIBARIKI na nipo mahala ambapo sitengenezi tu HESHIMA yangu na Familia yangu bali natengeneza HESHIMA KUBWA ya Taifa la Tanzania, nawaheshimisha Watanzania wote kwa NINACHOKIFANYA na Kuimarisha UNDUGU wa Tanzania na Uganda.

Mwisho niwapongeze Wote waliochaguliwa katika List ya JamiiForums wameonekana WANASTAHILI kwani hata Wao katika SHINDANO MAALUM la Wanachama Bora wa Majukwaa lililofanyika mwaka 2022 baadhi yao HAWAKUSHINDA ila GENTAMYCINE niliibuka MSHINDI WA JUMLA wa Jukwaa la Michezo JamiiForums kwa KUPIGIWA KURA hapa na Members na siyo kwa Watu fulani kukaa OFISINI na KUTEUA.

Na kwa KUKUMBUSHA tu hata hivi ninavyokujibu hapa bado GENTAMYCINE ni MFALME narudia tena bado ni MFALME wa Jukwaa la Michezo hapa JamiiForums kwakuwa tokea niibuke MSHINDI hakujafanyika tena SHINDANO na kwa KUJIAMINI na JEURI kubwa nakuhakikishia hata hilo SHINDANO likifanyika tena bado naenda kuwa MSHINDI wa jumla.

Asante Yanga SC na Simba SC kwa KUIHESHIMISHA Tanzania katika Michuano ya CAFCL na CAFCC. Nina uhakika Timu zote zikijipanga vyema hasa Kimaandalizi na Kimkakati naziona Yanga na Simba kufika Fainali na hata Timu moja au zote kuwa Mabingwa katika Makombe wanayoshiriki.

CHUKI na WIVU ni MTAJI wa WAPUMBAVU.
 
Bila reree raraa
Min me
Hapo hamnakitu
 
Kuna INSIDER MAN pia em fuatilien alichokifanya mum 'aknoledge'
 
Hongera sana Mwl. CRT , Robert Heriel Mtibeli , Mad Max ,SteveMollel , Nifah na Dkt. Gwajima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…