Wanachama wa Simba tumelazimishwa kupitisha muundo mpya wa Club...

Hii ndio mijitu inayoturudisha nyuma hadi kwny masuala ya kitaifa jitathmini ikiwa ww ulizaliwa kambolo kidogo au kakuma kadogo lkn sa hv hadi Mkono unapita na mivuzi hihaa ndio mabadiliko hayo sasa unataka ss tuwe kama hao ccm wa yanga ambao hawapendi maendeleo,,,, tuachie mpira wetu nenda kwa wanemba wenzio yanga ndo bado wanang'ang'ania kukodisha timu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi bila matusi huwezi kufikisha ujumbe wako hapa jukwaani?
 
Ni brand zinazojulikana lakini unaamini kuna matajiri waliotayari zaidi ya hiyo billion 20?
Ikifanyika vizuri bila ujanja ujanja wa viongozi wetu, inawezekana sana. Billion 20 ni ndogo kwa vyovyote vile.

Hivi bei ya jezi kiasi gani siku hizi?

Kuna uwezedkana wa kuuza ngapi kwa mwaka mzima kama soko likiwekwa vizuri?

Makampuni mangapi yanaweza kutangaza/kudhamini hizi club zetu kama kuna uongozi proper?
 
Mkuu business strategies zinazosimamiwa na watu wengi ni rahisi kufail but ni tofauti na mtu kama MO ni rahisi kusimamia kivyake,kwenye Watu wengi ngumu sana hata jezi yenyewe ni utata
 
Mkutano unaendelea Mwenyekiti katuburuza na kutunyima nafasi ya kuuliza maswali...waliwapanga watu wao 3...wakaishia kupongeza tu...tunaomba Vyombo vinavyofuatilia mchakato huu waingilie kati...
Nyie ndyo hatuwataki,hamtaki mabadiliko wakati hamna faida yoyote kwenye timu,michango hamtoi,ada hamlipi,uwanjani mwenyewe unataka muingie bure.kwendeni zenu huko!!
 
Hii ndio mijitu inayoturudisha nyuma hadi kwny masuala ya kitaifa jitathmini ikiwa ww ulizaliwa kambolo kidogo au kakuma kadogo lkn sa hv hadi Mkono unapita na mivuzi hihaa ndio mabadiliko hayo sasa unataka ss tuwe kama hao ccm wa yanga ambao hawapendi maendeleo,,,, tuachie mpira wetu nenda kwa wanemba wenzio yanga ndo bado wanang'ang'ania kukodisha timu

Sent using Jamii Forums mobile app
Saana saana kama umeelimika utakuwa umeishia kidato cha nne na ulizungusha hivyo siwezi kubishana na wewe tutaonekana sawa kwa ufupi Mimi ni mwana mabadiliko mkubwa ila napinga utaratibu ulotumika..wenye akili wataelewa ndani ya miaka 3 ijayo sio wewe zero.Bora hata Mimi ni mwanachama nina kadi ntaambulia kidogo kuliko wewe shabiki usiyejitambua...ungesoma makablasha kabla ya kuchangia bahati mbaya historia inaonyesha hupendi kusoma na ndo siri ya matokeo ya elimu ulopata
 
Kwa ufupi wanachama tumepewa 10% ya "cooked value" 40billion kikubwa hatujulikana tupo wangapi na kila mmoja atapata kiasi gani in terms of share value.Dewji anasubiria kupewa 50% ya club sio kupewa bali ni kuuziwa nusu ya club (maskini wazee wa kubebwa na mabasi jana wakadanganywa na Haji manara zero eti club haiuzwi wala hapewi mtu...huyu jamaa hajitambuagi.utaratibu wa kumpa dewji umetangazwa jana kwamba badala ya kuuza hizi share kwa njia ya Public IPO watatangaza watu waombe kwa njia ya tenda arafu atakaeibuka mshindi ndio atapewa club (50%) eti pia lazima awe mwachama wa simba ahaa (wakati tumeambiwa wanachama sie wachovu..inachanganya).sasa unategemea nini kama kamati yenyewe itakuwa imejaa wadosi watupu wakina Ramesh, makamu wa Rais wa simba kwa sasa Yule muhindi/mwarabu koko na akina kassim dewji unadhani watampitisha nani?sikatai wala simpingi dewji ila ukweli usipotoshwe...kilichoniuma zaidi ni kwamba tofauti na dewji atakayepewa 50% sisi tulobaki woote kwa sasa haturuhusiwi kununua zaidi ya zile 10% tutakazogowawiwa woote sawa sawa kwani na zile 40% zilizobaki hazitouzwa mpaka badae sana(undefined period of time) hi manake nini dewji akishachukua timu baada ya muda atakuja na pendekezo la kwamba timu inatakiwa pesa zaidi kapata wawekezaji so tuuze 40 zilizobaki kwa kuwapa kipaumbele wanachama of which obviously tutashindwa au kwa kutumiwa mamluki wake Wale wanachama wala ubwa kubwa wazinunue kisha aje anunue badae kutoka kwao kwa lengo la kufikisha 51% na hapo ndo tutakuwa tumeuza club tayari yote
 
Mkutano unaendelea Mwenyekiti katuburuza na kutunyima nafasi ya kuuliza maswali...waliwapanga watu wao 3...wakaishia kupongeza tu...tunaomba Vyombo vinavyofuatilia mchakato huu waingilie kati...
Utakuwa mamluki...ungepiga kura yako kwenye upande unaouamini.
Simba ni yetu na tumekubali mabadiliko.

The Great Gatsby
 
Jinger wwe.hamia yanga wao bado.
Mkutano unaendelea Mwenyekiti katuburuza na kutunyima nafasi ya kuuliza maswali...waliwapanga watu wao 3...wakaishia kupongeza tu...tunaomba Vyombo vinavyofuatilia mchakato huu waingilie kati...
 
Vyovyote iwavyo we umeisaidia vipi simba?zaidi ya kushabikia?wanachama wanachama ninyi wanachama mmewah isaidia vipi team?mi nadhan angepewa hata asilimia 100 wanachama mtaamua kushabikia simba au kuhama kwenda team za stand united au kariakoo...

Kwa ufupi wanachama tumepewa 10% ya "cooked value" 40billion kikubwa hatujulikana tupo wangapi na kila mmoja atapata kiasi gani in terms of share value.Dewji anasubiria kupewa 50% ya club sio kupewa bali ni kuuziwa nusu ya club (maskini wazee wa kubebwa na mabasi jana wakadanganywa na Haji manara zero eti club haiuzwi wala hapewi mtu...huyu jamaa hajitambuagi.utaratibu wa kumpa dewji umetangazwa jana kwamba badala ya kuuza hizi share kwa njia ya Public IPO watatangaza watu waombe kwa njia ya tenda arafu atakaeibuka mshindi ndio atapewa club (50%) eti pia lazima awe mwachama wa simba ahaa (wakati tumeambiwa wanachama sie wachovu..inachanganya).sasa unategemea nini kama kamati yenyewe itakuwa imejaa wadosi watupu wakina Ramesh, makamu wa Rais wa simba kwa sasa Yule muhindi/mwarabu koko na akina kassim dewji unadhani watampitisha nani?sikatai wala simpingi dewji ila ukweli usipotoshwe...kilichoniuma zaidi ni kwamba tofauti na dewji atakayepewa 50% sisi tulobaki woote kwa sasa haturuhusiwi kununua zaidi ya zile 10% tutakazogowawiwa woote sawa sawa kwani na zile 40% zilizobaki hazitouzwa mpaka badae sana(undefined period of time) hi manake nini dewji akishachukua timu baada ya muda atakuja na pendekezo la kwamba timu inatakiwa pesa zaidi kapata wawekezaji so tuuze 40 zilizobaki kwa kuwapa kipaumbele wanachama of which obviously tutashindwa au kwa kutumiwa mamluki wake Wale wanachama wala ubwa kubwa wazinunue kisha aje anunue badae kutoka kwao kwa lengo la kufikisha 51% na hapo ndo tutakuwa tumeuza club tayari yote
 
Hii ndio mijitu inayoturudisha nyuma hadi kwny masuala ya kitaifa jitathmini ikiwa ww ulizaliwa kambolo kidogo au kakuma kadogo lkn sa hv hadi Mkono unapita na mivuzi hihaa ndio mabadiliko hayo sasa unataka ss tuwe kama hao ccm wa yanga ambao hawapendi maendeleo,,,, tuachie mpira wetu nenda kwa wanemba wenzio yanga ndo bado wanang'ang'ania kukodisha timu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujapata ban bado?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni brand zinazojulikana lakini unaamini kuna matajiri waliotayari zaidi ya hiyo billion 20?
Mkuu umiza kichwa,iwapo hv vilabu vingefanya hv,kutokana na mtaji watu ulivyo navyo,ujaribu kuvuna wanachama mln 10 ambao kila mwezi wachangie elfu 5 zidisha hapo mara mwezi hlf mara mwaka ndio utajua thamani ya vilabu hv
 
Hapo hamna kuumiza kichwa hamna mashabiki waaminifu wa kuichangia vilabu,mechi moja timu ikifungwa kama atachangia hata mtu mmoja
 
Back
Top Bottom