Ndugu yangu.Klabu ya Yanga SC, leo hii imeingia mkataba na Hospital ya Aga Khan, ambapo itawafanya wachezaji wa Yanga kupima afya zao, lakini pia wanachama na mashabiki wa Yanga SC kuweza kupata huduma nchi nzima kwenye Hospital za Aga Khan.
Wanachana wenye kadi ya uanachama wa Yanga SC wanaweza kuhudumiwa kwa punguzo la bei kwenye Hospitali za Agakhan ambazo zimeenea nchini.
Mkataba wa Yanga SC na Hospital ya Aga Khan ni wa miaka miwili.
Luc Eymael aliyewaita nyani aliona mbali sanaKwa makolo hili wangeliweka kwenye orodha ya mafanikio ya timu kama lile la kufungua WhatsApp channel.
Kwa hio ulitaka iweje mbona unalia liaNdugu yangu.
Hakuna mlo wa Bure kwenye dunia ya Kibepari! Nakwambia hakuna MwanaYanga anayeshindwa kulipa Kiingilio cha Elfu 3000/= leo apate punguzo la kutibiwa Aga Khan akatoboa. Hiii ni yale yale Maigizo ya kuwalipia VIPOFU VIINGILIO WAJE KUTAZAMA MECHI ZA YANGA. Tangu lini Kipofu akatazama???
Tangu lini Mlalahoi wa Yombo, Manzese nk asogelee hata geti la Aga Khan! Hebu kuweni na Akili acheni ngojera buana.
AGa Khan Panaodol inauzwa 20,000/= wakati hospital zetu ni Tsh. 2,000/= simply kila huduma imeongezwa zero "0" mbele utawezea wapi wewe kajamba nani????
Simply wangeingia Mkataba na Bima ya Afya ya Jamii wanachama wakakatiwa Bima za Afya kwa Bei ya Punguzo ingekuwa Mang'anyu sana. Lkn kwa hili tumepuYangaKwa hio ulitaka iweje mbona unalia lia
Mkuu hayo ni masuala ya kimkataba hayatakiwi kwenda hewani kwa kila mtu. Ila Wahusika (Wachezaji, Wanachama na Mashabiki) watajulishwa vipengele vyote vya mkataba.Nimeisikia hii taarifa. Ila kwa upande wangu naona bado haijakaa sawa. Maana hawajaweka asilimia ya hilo punguzo.
Nadhani wangeweka wazi watapunguza kwa asilimia ngapi, ili iwe rahisi kwa wanufaika kufahamu kiwango halisi cha hilo punguzo wakati wa kupata matibabu.
Jikusanye na ki 50 ujifanye unaenda tibiwa A.K, unaweza pata surprise ya mwaka.Klabu ya Yanga SC, leo hii imeingia mkataba na Hospital ya Aga Khan, ambapo itawafanya wachezaji wa Yanga kupima afya zao, lakini pia wanachama na mashabiki wa Yanga SC kuweza kupata huduma nchi nzima kwenye Hospital za Aga Khan.
Wanachama wenye kadi ya uanachama wa Yanga SC wanaweza kuhudumiwa kwa punguzo la bei kwenye Hospitali za Agakhan ambazo zimeenea nchini.
Mkataba wa Yanga SC na Hospital ya Aga Khan ni wa miaka miwili.
Written by Mjanja M1 [emoji3578]
Aliyekwambia Agakhan wanaenda wote nani? Mabalozi wote na familia zao hukimbilia paleItakuwa wagonjwa wamepungua aghakan. Je mashabiki wa Yanga, watapima tezi dume? Ni vizuri wapime tezi dume ili wajue afya zao.
Kwa namna hii Nchi ilivyo na Ujanja janja hawachelewi kutoa punguzo la elfu 7 ama elfu 5 Kwa Kila huduma
Wakati gharama za matibabu hapo Agha Khan ni shilingi 700,000 hadi milioni kadhaa kutegemeana na ugonjwa
Anyways, Kila la kheri Mtani 🤗
AbsolutelyHii ni move kwa Yanga kupata wanachama wengi, yaani mtu asiye na kadi kwa sasa anaweza akavutika baada ya kuona kuna benefits kuwa mwanachama wa klabu...
Kuna utopolo halafu kuna ww Tate Mkuu akili mingiNimeisikia hii taarifa. Ila kwa upande wangu naona bado haijakaa sawa. Maana hawajaweka asilimia ya hilo punguzo.
Nadhani wangeweka wazi watapunguza kwa asilimia ngapi, ili iwe rahisi kwa wanufaika kufahamu kiwango halisi cha hilo punguzo wakati wa kupata matibabu.