ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Unaonaje ungeanzisha wewe kama mfano?Simply wangeingia Mkataba na Bima ya Afya ya Jamii wanachama wakakatiwa Bima za Afya kwa Bei ya Punguzo ingekuwa Mang'anyu sana. Lkn kwa hili tumepuYanga
Kwa gharama za Aga Khan hata mngepata punguzo la 50% bado ni wachache mno wangemudu hizo gharama. Hiki ni kilemba cha ukoka tu lakini kwa vile watu wenyewe ni nyani wanachekelea tu,naona huruma mimiMkuu hayo ni masuala ya kimkataba hayatakiwi kwenda hewani kwa kila mtu. Ila Wahusika (Wachezaji, Wanachama na Mashabiki) watajulishwa vipengele vyote vya mkataba.
Au sasa tufanye wako watatu ukiongeza na huyu Tate MkuuKuna utopolo halafu kuna ww Tate Mkuu akili mingi
Mnaoneea wivu hadi wagonjwaPunguzo rahisi kabisa la matibabu ni kuwa mwanachama wa Bima ya Taifa (NHIF), na sio hizo porojo za kujiunga uanachama wa Yanga. Bila NHIF, punguzo la matibabu Agha Khan bado ni ghali kulinganisha na hospitali nyingi nchini kwa matibabu ya bila pungozo
Hesabu hazidanganyi. Ukimuona daktari Agha Khan kwa sh. 70,000/= ukatolewa asilimia ya punguzo, hela utakayolipwa ulinganishe na hospitali nyingineMnaoneea wivu hadi wagonjwa
Yanga ina Wagonjwa Wengi unataka hospital ifilisike?Kwa namna hii Nchi ilivyo na Ujanja janja hawachelewi kutoa punguzo la elfu 7 ama elfu 5 Kwa Kila huduma
Wakati gharama za matibabu hapo Agha Khan ni shilingi 700,000 hadi milioni kadhaa kutegemeana na ugonjwa
Anyways, Kila la kheri Mtani 🤗
Wakikusikia wenyewe utapata shida 😜Yanga ina Wagonjwa Wengi unataka hospital ifilisike?