gwa myetu
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 4,473
- 4,666
Mnaokoment utumbo tulieni mengi msalit hamkumbuki alitugawa? Hii inaonyesha wanayanga wasinunue tena MAGAZETI yake ye nani yanga?
pole sana kijana mzima mwenye angalau hata akili ya kuingia JF ila unatetea ujinga, kwahiyo kama manji amedhulumu coco beach aachiwe tu kisa anaifadhili yanga ?
Tulizeni makalio yanga mulimpigia kampeni Magufuri na ndo huyo atamtumbua huyo gabachori wenu na wala mengi hana uwezo huo