Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Wengi wa mashabiki wa Yanga na Waswahili...Na kesho tena waende wakanunue wachome wamuingizie pesa mzee Mengi....kwikwikwi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamenunuliwa na huyo ManjiNilidhani wamewavamia wauza magazeti na kuyachoma,kumbe wameyanunua!!
Hili zoezi likiwa endelevu tena nchi nzima,Mengi atatengeneza pesa sana.
Ndo baba zetu mamwinyi wa mjini kutwa wanashinda barza kubishana mambo yasiyo ya kimaendele ya"mi niko mjini tangu John Rupia anakaa nyumba hii"kwa hiyo hawajui mchanganuo na siasa za biashara zilivyo ukichunguza katika wachoma magazeti hayo huwezi mkuta mkinga wala mchaga na kama yupo basi ndo muuza magazeti.Nashkuru sana kupata mama mbara kwa uzao huu wa pwani sijui ningekua nani now.Hao mashabiki wanatumika vibaya sana, wengi wao hawamiliki hata baiskeli.
Wazee wa mbeleko na hasira za mkizi,watoe order kabisa kesho waletewe copy ngapi
Yani kama mm nilikuwa sina mpango wa kununua gazeti ila nilivyoona hii post nimeenda kununu nisome yameandika nn haswaduh sasa ndo wamefanya nini? me nikadhani labda wamevamia kiwanda cha magazeti na kuchoma, kumbe wamenunua kwa pesa yao halafu wakachoma!!! kweli akili ni mali hapo hata hawajui kua kitendo cha kulinnunua tu gazeti kwanza wame transfer ownership ya gazeti husika. pili hawajamkomoa mengi bali ndo kwanza wamemuongezea mauzo ya magazeti yake maana watu wengi watakua na shauku ya kujua magazeti yake kesho yataandika nini. inasikitisha.
Ilo jiwe limetupwa gizaniJiheshimu nyumbu we!
Mhhhhhh lowasa tenaLowasa katuletea janga
Ili wachomeHayo magazeti waliyanunua ya nini.