Mnaokoment utumbo tulieni mengi msalit hamkumbuki alitugawa? Hii inaonyesha wanayanga wasinunue tena MAGAZETI yake ye nani yanga?
Weeee! Kizee kitakufa kwa stroke mkimuiba Jacklin.Kwani hawa matajiri wawili wekoseana nn Mzee aangalie jaqline asije akaibiwa na manji maana ni balaaa yule
Jiheshimu nyumbu we!Yanga imejaa vilaza kuanzia kwa msemaji mpaka mashabiki wao
ndo walewale...sasa kuchoma ndo itasaidia nn??wenzenu nao walisema wanagomea bidjhaa za azam lakin mpka leo wamefika wapi ??kuwa great thinker walau kwa hili nduguMnaokoment utumbo tulieni mengi msalit hamkumbuki alitugawa? Hii inaonyesha wanayanga wasinunue tena MAGAZETI yake ye nani yanga?
Mnaokoment utumbo tulieni mengi msalit hamkumbuki alitugawa? Hii inaonyesha wanayanga wasinunue tena MAGAZETI yake ye nani yanga?
Shika adabu yako vyura FC...Yanga imejaa vilaza kuanzia kwa msemaji mpaka mashabiki wao
Mkuu wajinga ndio waliwao..Nilidhani wamewavamia wauza magazeti na kuyachoma,kumbe wameyanunua!!
Hili zoezi likiwa endelevu tena nchi nzima,Mengi atatengeneza pesa sana.