Wanachama Yanga wachana na kuchoma magazeti ya Reginald Mengi!

Wengi wa mashabiki wa Yanga na Waswahili...Na kesho tena waende wakanunue wachome wamuingizie pesa mzee Mengi....kwikwikwi
 
Wazee wa mbeleko na hasira za mkizi,watoe order kabisa kesho waletewe copy ngapi
 
Wazee wa mbeleko kwa vituko
😀😀😀😀
 
Mimi ni Yanga,ila huu ni ujinga wa hali ya juu. Hoja hujibiwa kwa hoja,si fujo. Nimekumbuka wale waluocharanga wenzao wakiwa kwenye ibada. Ulofa mtupu
 
Taratibu baadhi ya watanzania wenzetu wanashindwa kutambua wanataka nini. Inauma sana.
 
Shibe za ugali maharage zinasumbua jmn wenyewe wamepoz kimya alafu sie ndo viherehere
 
Mimi mwenyewe Yanga lakini siwezi kununuliwa na Manji na kupigwa picha za kijinga hivi
 
Hao mashabiki wanatumika vibaya sana, wengi wao hawamiliki hata baiskeli.
Ndo baba zetu mamwinyi wa mjini kutwa wanashinda barza kubishana mambo yasiyo ya kimaendele ya"mi niko mjini tangu John Rupia anakaa nyumba hii"kwa hiyo hawajui mchanganuo na siasa za biashara zilivyo ukichunguza katika wachoma magazeti hayo huwezi mkuta mkinga wala mchaga na kama yupo basi ndo muuza magazeti.Nashkuru sana kupata mama mbara kwa uzao huu wa pwani sijui ningekua nani now.
 
Yani kama mm nilikuwa sina mpango wa kununua gazeti ila nilivyoona hii post nimeenda kununu nisome yameandika nn haswa
 
Mleta mada nawe unatatizo kubwa. Mbona hiyo heading ni kubwa kuliko tendo? Ati Wanachama wa Yanga. Mimi mbona sikuwepo wala sikushirikishwa? Gazeti lenyewe moja tena lililetwa ofisini bure halaf ndio limechanwa chanwa likawashwa na kiberiti cha sigara kali. Nayo hiyo ni hoja kweli ya kuandika humu jf?
 
Wapeleke Oda mapema ili kuanzia kesho waletewe Mengi zaidi wayachome. Kuanza
kuzuia vyombo vya habari visimuandike eti kisa ni M/kiti wa Yanga ni ujinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…