WEWE UNAYO?Tatizo kubwa sana ni elimu.
Hata common sense hawana.
Swala la vita ya kibiashara lisiwafunge macho wanayanga, kwani Magufuli aliposema kamwe cocobeach haitatolewa kwa mtu binafsi bali itaendelea kuwa public place alikuwa anaihujumu Yanga? Tumieni akili badala ya hisia.Mnaokoment utumbo tulieni mengi msalit hamkumbuki alitugawa? Hii inaonyesha wanayanga wasinunue tena MAGAZETI yake ye nani yanga?
Elimu wanayo sana , tatizo ni umate mate. .washapigwa 'temporary insanity'(Rushwa)Tatizo lao kubwa ni Elimu... Elimu..Elimu
Mashabiki wa Yanga Luninga kwa kweli ni mamburula... Tatukuru wakija pita hapo sijui watamficha Manji hapo... kwenye MAFURIKO...
Na viwanja vya hapo walipo wanatakiwa wavunje hilo Jengo sehemu hatarishi....
Hapo Udini na kupewa pewa pesa za kulinda mfuko wanaona Manji mtu wa Maana..
Ila Mengi ana kimavi na Mirangi ya Kijani na Njano hajui tu na sijui anaipenda kwa nini ana damu ya kunguni tuseme... CCM walijiapiza kutotizama ITV kwenye uchaguzi ilipendelea sana upinzani... japo kwa kumsingizia wakati habari zake zilikuwa zinabalance ujinga wa baadhi ya wanachama hawataki upinzani uoneshwe... ila Mengi aendelee na msimamo wake wa kutoagua story Kampuni yake ibaki kuwa Super Brand.. Ndio Maana haichuji... walizokuwa wanazipenda ndio zimekosa radha... huu Ubaguzi ubaguzi sio siasa zetu Haki sawa kwa Wote ndio Msingi wetu tuendelee....
Unachoma Gazeti kila limemtaja Mwizi aliyemo ndani mwako... so Anaiba ili wewe ule... Mbabu pu zenu
Ndio maana mpira unasemwa kuwa ni hooliganism! Sipendi mpira potele mbaliHayo majamaa vichwa nazi sana.... Hayajui yameshamwongezea manoti mzee wa watu.
Wala siwashangai hao walioshiriki zoezi hilo, maana wanamtumikia kafiri ili wapate ujira wao.. Iteni kujidhalilisha au kujishusha wao hilo haliwasumbui.. Lakini in general Manji aache kuwadhalilisha watu.. Kigezo cha umaskini isiwe sababu ya wao kudhalilishwa hivi..
Ha ha ha Mkuu.. Hukusoma methali wewe..? Hii methali inasema "mtumikie kafiri upate ujira wako"..Mhh nani kafiri tena hapo?
Jiheshimu nyumbu we!
Ha ha ha Mkuu.. Hukusoma methali wewe..? Hii methali inasema "mtumikie kafiri upate ujira wako"..
View attachment 349864
Wanachama wa Yanga wamecharuka na kufanya kitendo kinachoonyesha ni hasira kutokana na kuchana na kuchoma moto magazeti.
Wanachama hao wa Yanga, leo wamechoma moto magazeti ya Nipashena The Guardian katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika kwenye makao makuu ya klabu hiyo mtaa wa Jangwani na Twiga, Kariakoo jijini Dar es Salaam.
Wanachama hao wamefanya hivyo wakipinga Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji kusakamwa kw amakusudi na Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Reginald Mengi.
“Hii sasa imetosha, huyu Mengi na magazeti yake anamsakama Manji kila anapoona Yanga inafanya vizuri. Mara tu baada ya Yanga kutinga robo fainali hatua ya Kombe la Shirikisho, basi vyombo vyake vimeanza kuandika kwamba anatakiwa sijui kuondolewa Coco Beach.
“Hakuna asiyejua Manji amestaafu Quality Group, sasa anamtaja wa nini. Au anataka ashindwe kufanya kazi za Yanga kwa utulivu.
“Watuache, kweli tutatangaza watu wa Yanga waachane na kununua bidhaa zake,” alisema Abuu Chehekaheka.
Pamoja naye, wanachama wengine kama Edward Matiku, Clement Michael na Hashimu Mtanza nao walimuunga mkono pamoja na wengine waliokuwa pale kabla ya kuanza kuchoma moto magazeti hayo wakionyesha kuwa na jazba.
Hata walipoulizwa sababu kuu za kuchoma magazeti hayo yanayomilikiwa na Mengi, hakuna aliyetaka kujibu huku wakionyesha kuwa na jazba.
View attachment 349857View attachment 349858 View attachment 349859

Sasa hapo si ndo kesho atachapisha menginec ya kutosha ili mnunue mchane.. kwel akil nyumbu au ndo unapewa buku 5 ya maji hahahahhahaahKuna nyumbu ni mashabiki wa mikia waliua wanaombea sana habari kama hii ili povu liwatoke vizuri,sawa wamekosea ila meng aache umaku yeye akigombana na mtu tu anatumia vyombo vyake kuponda,upuuzi mtupu,apeleke apu yake huko,ili yasitokee haya na yeye aache kutumia vigazeti vyake kuandika mabifu na wanaume wenzake.ova.
Buku tano ya nini sasa?Sasa hapo si ndo kesho atachapisha menginec ya kutosha ili mnunue mchane.. kwel akil nyumbu au ndo unapewa buku 5 ya maji hahahahhahaah
masikini nichi ya n gu tanzania.....Mafisadi ni wajanja sana.
Wameshawanunua baadhi ya wanachama ili wahalalishe ufiasadi wao. Kama Cocobeach inamuhusu awajibike asijifiche nyuma ya Yanga wala CCM.
Na mwaka huu Magufuli akiamua kutenda haki sawa kwa wote wataikimbia hii nchi. Yanga ina tija gani kwa taifa kama itatumika kama kichaka cha mafisadi?
Club ni kwa ajili ya kuburudisha tu na sio kutumika kutuibia.
Kama kuna ukweli kwenye tuhuma hizo basi atumbuliwe.
Hii nchi tumebaki nyuma sana kwa mambo ya kipumbavu.
Mtu anatuhuma halafu anapanga watu wa kumpigia kelele .
Mara wengine wanatetewa kidini,wengine kikabila,wengine kikanda ,wengine kichama na kisiasa na sasa Wamekuja kisoka. Ajabu kabisa. Hao wanachama wananufaika nini endapo serikali itakua inahujumiwa na matajiri ili kufadhili vilabu?
Yani miundo mbinu ya Taifa iharibiwe ili kulinda mfadhili wa timu?
Je,siku akifa ina maana taifa letu ndio litaishia hapo?
Hili tukio halichekeshi bali linatia huzuni sana. Inaonesha ni kiasi gani bado kuna wapumbavu na wajinga huko mtaani.....anaingilia ugomvi wa Manji na Mengi wakati hata hela ya kula taabu.kweli safari bado ni ndefu sana kila siku kuna tukio la kuchekesha au kutia huzuni. ni juzi tu hapa kuna mheshimiwa kapigiwa makofi mjengoni kwa kutaka ile sanamu ya askari itolewe iwekwe ya mbongo fleva
Kwan hujui kazi ya hela???.. Kutoka kwa boss wako Manji. Then approach mnatumia ya kizamaniBuku tano ya nini sasa?