Wanachambua data kwa kutumia tools nyingi sana zifuatazo

Wanachambua data kwa kutumia tools nyingi sana zifuatazo

Jibu hapahapa
MATLAB ni pana sana, mkuu pana kweli. Kabla ya kuanza kufanya kazi yako, ni muhimu kwanza kuulizwa maswali ya msingi kama vile: unataka kuchambua data za aina gani, data ni kiasi gani, na unataka kuchambua parameters zipi.

Sio hivyo tu pia ni lazima ufafanue aina ya utafiti unaofanya na malengo (objectives) yako ni yapi. Kwa hiyo, hili si jambo linaloweza kumalizwa tu kwa maelezo mafupi hapa Jamii Forum kama unavyodhani. Wakati mwingine, ni muhimu pia kutuma data zako ili ziweze kuangaliwa kwa undani.

Maswali hayo ndio yanayoweka msingi wa gharama ya kuchambua data zako.
 
Ofisi zenu ziko wapi?
Kwasasa kazi zote za Bright and Genius Editors zinafanywa kwa njia ya mtandao. Na malipo yote ni baada ya kazi kufanyika. Mawasiliano ni kwa njia ya email: [email protected] au Whatsapp Account ya Bright and Genius Editors: +255612607426
IMG-20250607-WA0005.jpg
 
MATLAB ni pana sana, mkuu pana kweli. Kabla ya kuanza kufanya kazi yako, ni muhimu kwanza kuulizwa maswali ya msingi kama vile: unataka kuchambua data za aina gani, data ni kiasi gani, na unataka kuchambua vigezo (parameters) vingapi.

Sio hivyo tu pia ni lazima ufafanue aina ya utafiti unaofanya na malengo (objectives) yako ni yapi. Kwa hiyo, hili si jambo linaloweza kumalizwa tu kwa maelezo mafupi hapa Jamii Forum kama unavyodhani. Wakati mwingine, ni muhimu pia kutuma data zako ili ziweze kuangaliwa kwa undani.

Maswali hayo ndio yanayoweka msingi wa gharama ya kuchambua data zako.
Ninahitaji jinsi ya kuitumia MATLAB kukokotoa advanced maths and engineering.
 
Back
Top Bottom