Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 9,397
- 12,415
Wapo naweza pata trainer mzuri na akawa muwazi kuhusu gharama za hizi vituWanafanya DATA ANALYSIS kwa kutumia tools zifuatazo:
SPSS,
R,
Python,
STATA,
SmartPLS,
MATLAB,
SAS,
NVivo,
MAXQDA,
π Unaweza kuwasiliana nao kupitia njia zifuatazo:
Simu/WhatsApp: 0687746471/0612607426
Email: bandg.editors@gmail.com
Hawa wanatoa huduma ya kufanya Data Analysis tu. Kama una data zako unataka kuzifanyia data analysis wanatoa hiyo huduma.Wapo naweza pata trainer mzuri na akawa muwazi kuhusu gharama za hizi vitu
MATLAB pekee yake bei gani?Wanafanya DATA ANALYSIS kwa kutumia tools zifuatazo:
SPSS,
R,
Python,
STATA,
SmartPLS,
MATLAB,
SAS,
NVivo,
MAXQDA,
π Unaweza kuwasiliana nao kupitia njia zifuatazo:
Simu/WhatsApp: 0687746471/0612607426
Email: bandg.editors@gmail.com
Whatsapp: 0612607426MATLAB pekee yake bei gani?
Jibu hapahapaWhatsapp: 0612607426
Ofisi zenu ziko wapi?Wanafanya DATA ANALYSIS kwa kutumia tools zifuatazo:
SPSS,
R,
Python,
STATA,
SmartPLS,
MATLAB,
SAS,
NVivo,
MAXQDA,
π Unaweza kuwasiliana nao kupitia njia zifuatazo:
Simu/WhatsApp: 0687746471/0612607426
Email: bandg.editors@gmail.com
MATLAB ni pana sana, mkuu pana kweli. Kabla ya kuanza kufanya kazi yako, ni muhimu kwanza kuulizwa maswali ya msingi kama vile: unataka kuchambua data za aina gani, data ni kiasi gani, na unataka kuchambua parameters zipi.Jibu hapahapa
Kwasasa kazi zote za Bright and Genius Editors zinafanywa kwa njia ya mtandao. Na malipo yote ni baada ya kazi kufanyika. Mawasiliano ni kwa njia ya email: bandg.editors@gmail.com au Whatsapp Account ya Bright and Genius Editors: +255612607426Ofisi zenu ziko wapi?
Ninahitaji jinsi ya kuitumia MATLAB kukokotoa advanced maths and engineering.MATLAB ni pana sana, mkuu pana kweli. Kabla ya kuanza kufanya kazi yako, ni muhimu kwanza kuulizwa maswali ya msingi kama vile: unataka kuchambua data za aina gani, data ni kiasi gani, na unataka kuchambua vigezo (parameters) vingapi.
Sio hivyo tu pia ni lazima ufafanue aina ya utafiti unaofanya na malengo (objectives) yako ni yapi. Kwa hiyo, hili si jambo linaloweza kumalizwa tu kwa maelezo mafupi hapa Jamii Forum kama unavyodhani. Wakati mwingine, ni muhimu pia kutuma data zako ili ziweze kuangaliwa kwa undani.
Maswali hayo ndio yanayoweka msingi wa gharama ya kuchambua data zako.
Unasoma kozi gani? Electrical, Mechanical, Civil au Chemical?Ninahitaji jinsi ya kuitumia MATLAB kukokotoa advanced maths and engineering.