Wanachofanya AZAM TV kwenye mpira ni uhuni na utapeli, wadau amkeni

Unawaza azam anaweza akawafurahisheni na kuwaridhisha wateja wake wote mamilioni nchini. Lazima mtakuwepo pimbi kama nyinyi msioona jema popote. Hamna shukrani kwa hata hicho anachofanya mtamsaidia nini kumboresha?
 
Mna muda aisee
 
Unawaza azam anaweza akawafurahisheni na kuwaridhisha wateja wake wote mamilioni nchini. Lazima mtakuwepo pimbi kama nyinyi msioona jema popote. Hamna shukrani kwa hata hicho anachofanya mtamsaidia nini kumboresha?
Akili za kichawa chawa hizi.
Mdau haridhiki na huduma na katoa malalamiko yake. Wewe ni bakhresa mpaka umsemee kua hawezi kuridhisha watu wote??

Shukrani ya wateja wake ni kuchagua kutumia huduma yake, we unataka akalambwe miguu ndo ujue mtu kashukuru. Yaani unalipia huduma badala ya yeye akushukuru wewe mteja eti wewe mteja umshukuru yeye.
UCHAWA PRO MAX.
 
Siku azam wakilogwa copyright ya kuonyesha NBC premiere L. Ikaingia dstv au kwingine kokote,basi hapo ndiyo nafunga nao mkataba rasmi kulipia kifurushi.
Sahau kabisa kampuni nyngn tofauti na azam kuja kuonyesha ligi ya Bongo, dstv walitaka kuonyesha ligi ila walisema wataonyesha mechi za simba na Yanga tuu wakafukuzwa kwa kuitiwa kelele za mwizi mchana kweupe na TFF. labla miaka 40 ijayo dstv wakijirekebisha ila kwa miaka ya hii hapa sahau hiyo kitu.
 
Kabla ya kuanza kuwashtuma azam jaribu kuuliza ili upewe taarifa. Kwa ufupi tuu n kwamba hujui chcht.
Azam wana jumla ya channels 9 ila za sports ni 3 ila pakiwa kuna mechi nyingi hua wanaonyesha kwenye hizo channels zake nyingine. Mambo ndivyo yalivyo mana sio mechi zote zitachezwa kwa wakati mmoja.
Swali langu kwako, unajua azam wanaonyesha EPL ya UK.? niambie wanaonyesha kwenye channel ipi.
 
KARIBU CANAL + UNAJICHAGULIA WEWE BIG MATCH YA KUANGALIA, AZAM NIMEWEKA KISIMBUZI CHAO KAMA PAMBO TU, LIGIKUU NAENDA KUTAZAMA KIBANDA UMIZA
 
Azam washukuru wanaonesha mechi za Ligi kuu ya Tanzania. Kinyume na hapo, wasingekula hata 100 yangu kudadek zao.
 
Iyo EPL game Moja Kila weekend?
Kwenye UTV..
Ile ni game Moja Kila wiki ambayo hata bukedde tv unaona tu
 
Iyo EPL game Moja Kila weekend?
Kwenye UTV..
Ile ni game Moja Kila wiki ambayo hata bukedde tv unaona tu
Sasa pointi yangu ndo kukuambia kuwa sio lazima channel iwe ya sport ndio waonyeshe mpira
 
Sasa pointi yangu ndo kukuambia kuwa sio lazima channel iwe ya sport ndio waonyeshe mpira
Kuna tofauti media ikitangaza inaonyesha MECHI za ligi Fulani..
Na media ikisema inaonyesha LIGI ya nchi Fulani..
Rudia kusoma
 

Elf 25 yake anataka kuwapangia cha kufanya [emoji23][emoji23][emoji23]ety waongeze chanel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…