G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,795
- 36,704
Kwanini hawa watu hawataki kubadilika? Waliyofanya 2019 na 2020 kwao yalikuwa mazuri? Tanzania inatoka wapi na inaelekea wapi?
Mambo haya yanachagizwa kwa kiasi kikubwa na aina ya uongozi uliopo. Kwani kina Mkapa na Kikwete walishindwa kufanya haya? Kwanini iwe sasa? Ni kwanini watu tunakosa akili kiasi hiki?
Inatia aibu kuona jambo muhimu lenye kuamua hatima ya nchi linavurugwa kisa tu ulafi na ulevi why?
Kama nchi tujifunze kuwa wastaarabu kwenye mambo muhimu kama ya uchaguzi. Isitokee kikundi fulani kujiona wao ndio wenye haki ya kujiweka madarakani tena kwa kulazimisha. Hii siyo sawa hata kidogo na inatia maudhi.