Wanahubiri maza anaupiga mwingi huku wanaandisha watoto,wafu ili waibe kura...ccm imejifia kitambo bila nec,policeccm hawapati hata jimbo mojaKwanini hawa watu hawataki kubadilika? Waliyofanya 2019 na 2020 kwao yalikuwa mazuri? Tanzania inatoka wapi na inaelekea wapi?
Mambo haya yanachagizwa kwa kiasi kikubwa na aina ya uongozi uliopo. Kwani kina Mkapa na Kikwete walishindwa kufanya haya? Kwanini iwe sasa? Ni kwanini watu tunakosa akili kiasi hiki?
Inatia aibu kuona jambo muhimu lenye kuamua hatima ya nchi linavurugwa kisa tu ulafi na ulevi why?
Kama nchi tujifunze kuwa wastaarabu kwenye mambo muhimu kama ya uchaguzi. Isitokee kikundi fulani kujiona wao ndio wenye haki ya kujiweka madarakani tena kwa kulazimisha. Hii siyo sawa hata kidogo na inatia maudhi.
Hawataki kubadilika kwa sababu washajua, wanaonewa hawana chakufanya. Palestina wakipigania haki zao nyinyi mnaona mnawaita kila majina mabaya. Sasa haya hayaKwanini hawa watu hawataki kubadilika? Waliyofanya 2019 na 2020 kwao yalikuwa mazuri? Tanzania inatoka wapi na inaelekea wapi?
Mambo haya yanachagizwa kwa kiasi kikubwa na aina ya uongozi uliopo. Kwani kina Mkapa na Kikwete walishindwa kufanya haya? Kwanini iwe sasa? Ni kwanini watu tunakosa akili kiasi hiki?
Inatia aibu kuona jambo muhimu lenye kuamua hatima ya nchi linavurugwa kisa tu ulafi na ulevi why?
Kama nchi tujifunze kuwa wastaarabu kwenye mambo muhimu kama ya uchaguzi. Isitokee kikundi fulani kujiona wao ndio wenye haki ya kujiweka madarakani tena kwa kulazimisha. Hii siyo sawa hata kidogo na inatia maudhi.
ni muhimu sana kuzingatia na kufuata sheria na katiba.Kwanini hawa watu hawataki kubadilika? Waliyofanya 2019 na 2020 kwao yalikuwa mazuri? Tanzania inatoka wapi na inaelekea wapi?
Mambo haya yanachagizwa kwa kiasi kikubwa na aina ya uongozi uliopo. Kwani kina Mkapa na Kikwete walishindwa kufanya haya? Kwanini iwe sasa? Ni kwanini watu tunakosa akili kiasi hiki?
Inatia aibu kuona jambo muhimu lenye kuamua hatima ya nchi linavurugwa kisa tu ulafi na ulevi why?
Kama nchi tujifunze kuwa wastaarabu kwenye mambo muhimu kama ya uchaguzi. Isitokee kikundi fulani kujiona wao ndio wenye haki ya kujiweka madarakani tena kwa kulazimisha. Hii siyo sawa hata kidogo na inatia maudhi.
Kwa upinzani tu? Ccm wote malaika wanapita?ni muhimu sana kuzingatia na kufuata sheria na katiba.
haiwezekani watu wasio kidhi sifa, vigezo na masharti ya ugombeaji wakaruhusiwa kugombea uongozi kwa kukuaka sheria π
Ni upumbavu na dharau kwa wananchi aseeKwanini hawa watu hawataki kubadilika? Waliyofanya 2019 na 2020 kwao yalikuwa mazuri? Tanzania inatoka wapi na inaelekea wapi?
Mambo haya yanachagizwa kwa kiasi kikubwa na aina ya uongozi uliopo. Kwani kina Mkapa na Kikwete walishindwa kufanya haya? Kwanini iwe sasa? Ni kwanini watu tunakosa akili kiasi hiki?
Inatia aibu kuona jambo muhimu lenye kuamua hatima ya nchi linavurugwa kisa tu ulafi na ulevi why?
Kama nchi tujifunze kuwa wastaarabu kwenye mambo muhimu kama ya uchaguzi. Isitokee kikundi fulani kujiona wao ndio wenye haki ya kujiweka madarakani tena kwa kulazimisha. Hii siyo sawa hata kidogo na inatia maudhi.
Uwendawazimu ni kufanya jambo lile lile kwa mtindo ule ule na kutarajia mabadiliko.Hizi nafasi za kupeana kiundugu ili wakulinde ni mbaya sana
Kuna Siasa za kipumbavu sana nchi hii
Wanadai Chadema Imekufa sasa hizi figisu za kijinga za nini?
Kwanini hawa watu hawataki kubadilika? Waliyofanya 2019 na 2020 kwao yalikuwa mazuri? Tanzania inatoka wapi na inaelekea wapi?
Mambo haya yanachagizwa kwa kiasi kikubwa na aina ya uongozi uliopo. Kwani kina Mkapa na Kikwete walishindwa kufanya haya? Kwanini iwe sasa? Ni kwanini watu tunakosa akili kiasi hiki?
Inatia aibu kuona jambo muhimu lenye kuamua hatima ya nchi linavurugwa kisa tu ulafi na ulevi why?
Kama nchi tujifunze kuwa wastaarabu kwenye mambo muhimu kama ya uchaguzi. Isitokee kikundi fulani kujiona wao ndio wenye haki ya kujiweka madarakani tena kwa kulazimisha. Hii siyo sawa hata kidogo na inatia maudhi.
Tunasaidiana kulia na wanachadema, wanachadema wanageuzwa kama chapati kila mwakaBado hujaenda kuwasaidia ndg zako ktk imani? Kuja kulialia humu hautakusaidia
Huu upuuzi aliuasisi jiwe kichaa yule! Jinga sana lile lishetani! Hawa wanafuata mkondo wake! Mungu Fanya mambo yako sifa zikurudie eee mola wetu!Kwanini hawa watu hawataki kubadilika? Waliyofanya 2019 na 2020 kwao yalikuwa mazuri? Tanzania inatoka wapi na inaelekea wapi?
Mambo haya yanachagizwa kwa kiasi kikubwa na aina ya uongozi uliopo. Kwani kina Mkapa na Kikwete walishindwa kufanya haya? Kwanini iwe sasa? Ni kwanini watu tunakosa akili kiasi hiki?
Inatia aibu kuona jambo muhimu lenye kuamua hatima ya nchi linavurugwa kisa tu ulafi na ulevi why?
Kama nchi tujifunze kuwa wastaarabu kwenye mambo muhimu kama ya uchaguzi. Isitokee kikundi fulani kujiona wao ndio wenye haki ya kujiweka madarakani tena kwa kulazimisha. Hii siyo sawa hata kidogo na inatia maudhi.
Nae alikuwa ibilisi TU shetani mkubwa sana, walishakutana Kule Motoni! Walijifanya wakatoliki watakatifu sana jumuiya wanahudhuria sana! Kumbe maibilisi makubwa sana!Kijana mdogo hujui Mkapa alifanya nini kule Z'bar
Yeyote asiekidhi vigezo, sifa na masharti ya kisheria za Uchaguzi na kikatiba bila kujali mirengo na vyama vyao, ni vyema akaondolewa mara moja πKwa upinzani tu? Ccm wote malaika wanapita?
Inshallah. Siku ukishakuwa humo ktk mfumo utaanza kujuta unayoyafanya kwa wenzioYeyote asiekidhi vigezo, sifa na masharti ya kisheria za Uchaguzi na kikatiba bila kujali mirengo na vyama vyao, ni vyema akaondolewa mara moja π
Inshallah. Siku ukishakuwa humo ktk mfumo utaanza kujuta unayoyafanya kwa wenzio
hayo ni matarajio ya kishirikiana gentleman πInshallah. Siku ukishakuwa humo ktk mfumo utaanza kujuta unayoyafanya kwa wenzio
Ukishakaa kibarazani ukiwa mzee utaanza kujutahayo ni matarajio ya kishirikiana gentleman π