Wanachofanya mayahudi kwa waislamu wa Gaza ndicho walichofanya wakristo kule Bosnia na kwengineko

Fuatilia historia ya kuenea kwa Uislamu Mashariki ya kati na Afrika Kaskazini.
 
Utandawazi kwa muda mrefu umekuwa dhidi ya maslahi ya waislamu kiasi kwamba kuna dhana iliyoenea mijini na mitaani na kwa wanachama wengi wa Jf kwamba uislamu ni shida duniani na kwamba hiii ni dini ya kuripua na kuua watu.
Ukweli wa matukio yanayoendelea sasa duniani na yale ya kihistoria ni kinyume kabisa na dhana hiyo na inashangaza kwamba wanaoamini hivyo hawaoni haya kuleta madai hayo,

Kinachofanywa na mayahudi kule Gaza na Palestina kwa takriban miaka miwili ni kitu kibaya sana kiubinadamu.Kwa bahati safari hii ubaya huo umekuwa ukioneshwa mubashara kote duniani japo haijasaidia sana kusitisha balaa hilo kwa wapalestina.

Mbinu wanazotumia mayahudi kwa waislamu wa Palestina zinalingana sana na zile walizotumia wakristo kwa taifa la kiislamu la Bosnia katikati ya Ulaya.Wote wamekuwa wakiwauwa waislamu bila huruma na kubomoa majumba yao.

Kilichozidi kwa mayahudi ni ukatili wa kuwanyima chakula na wanapokuwa wamekuwa na njaa sana wanawawekea chakula sehemu kama wanavyotegeshwa wanyama na wanapofika wanawauwa kwa risasi,Mpaka sasa inakisiwa wameshawauwa 65000 na idadi kubwa kuwafanya wawe vilema wanaoishi kwenye mahema.

Ama kwa upande wa Bosnia wakristo waliuwa takriban watu laki tatu kwa kuvamia vijiji na miji yao na kuwamiminia risasi kila waliyempata bila kubagua umri wala jinsia.Baada ya hapo walipbomoa majumba yao na kuchoma moto misikiti.

Kinachofanana sana kwa mazingira kati ya wauwaji hawa ni kukaliwa kimya wanachokifanya na kuungwa mkono na mataifa makubwa.

Kilichotofauti ni kuwa katibu mkuu wa UN wakati wa mauwaji ya wakristo kwa waislamu katika vita vya Bosnia alikuwa na sera za kuunga mkono wakristo wenzake wakati yule anayeshuhudia mauwaji ya wapalestina kutoka kwa mayahudi japo ni mkristo amepinga waz wazi unyama huo.

Kwengineko ambako wakristo wamewauwa mamilioni ya waislamu bila sababu za maana ni Iraq,Afghanistan,Libya chini ya watawala wao wenye misimamo mikali ya kikristo.
Kule India kila siku waislam wanalalamika. Ukishanganya dini na majin aman itapatikana wap
 
Quran 9:5
Na ikisha miezi mitukufu basi wauweni washirikina popote mwakutapo, na washikeni na wazungukeni, na wavizieni katika kila njia. Lakini wakitubu, wakashika Sala, na wakatoa Zaka, basi waachilieni. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu
👆
Hii dini na amani walifarakana kitambo sana
Qur'an 9:5 inasema:

[فَإِذَا انسَلَخَ ٱلْأَشْهُرُ ٱلْحُرُمُ فَاقْتُلُوا۟ ٱلْمُشْرِكِينَ حَيْثُ وَجَدتُّمُوهُمْ وَخُذُوهُمْ وَٱحْصُرُوهُمْ وَٱقْعُدُوا۟ لَهُمْ كُلَّ مَرْصَدٍۢ ۚ فَإِن تَابُوا۟ وَأَقَامُوا۟ ٱلصَّلَوٰةَ وَءَاتَوُا۟ ٱلزَّكَوٰةَ فَخَلُّوا۟ سَبِيلَهُمْ ۚ إِنَّ ٱللَّهَ غَفُورٌۭ رَّحِيمٌۭ]

"Basi watakapokwisha miezi mitukufu waueni washirikina popote mtakapowakuta na wakamateni na wawazingire na waotee kila mahali pa kuwavizia. Lakini wakitubu na wakaswali na wakatoa Zaka basi waachilieni njia yao. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa kusamehe Mwenye kurehemu".

Aya hiyo👆🏽 iliteremshwa katika muktadha wa kuvunjwa kwa mikataba na baadhi ya washirikina wa Makka waliovunja ahadi zao na walikuwa wakifanya uadui dhidi ya Waislamu wala haielekezi kuchukua hatua kwa kila mushrikina bila sababu ya uadui au kuvunja mkataba.

Mkataba uliovunjwa unaohusiana na Qur'an 9:5 ni (Mkataba wa Hudaybiyyah) ambao ulifikiwa mwaka 628 CE kati ya Mtume Muhammadi (s.a.w) na washirikina wa Makka hasa kabila la Quraysh Mkataba huu ulikuwa wa amani na usitishaji wa vita kwa muda wa miaka kumi.

Baadhi ya makabila washirika wa Quraysh kama vile (Banu Bakr) walivunja mkataba huo kwa kushambulia washirika wa Waislamu (kabila la Banu Khuza'ah) ambao walikuwa wameingia katika mkataba wa amani na Waislamu. Na kabila la Quraysh waliunga mkono mashambulizi haya jambo lililokuwa ukiukaji wa wazi wa masharti ya mkataba.

Kutokana na kuvunjwa kwa mkataba huo ndiyo Qur'an 9:5 iliteremshwa kwa ajili ya kutoa mwongozo kwa Waislamu kuhusu jinsi ya kushughulikia wale waliovunja ahadi zao aya hii haikuwa amri ya jumla dhidi ya washirikina wote bali ililenga wale waliovunja mikataba yao na kuanzisha uadui dhidi ya Waislamu.

Wanazuoni wengi wamesisitiza kwamba aya hiyo haiwezi kutumiwa kiholela dhidi ya wasiokuwa Waislamu kwa nje ya muktadha wake wa vita au uadui wa moja kwa moja.

Kuna aya zinazoeleza kuishi kwa amani na wasiokuwa Waislamu walioko katika hali ya amani tazama
Qur'an 60:8 inasema:
"لَا يَنْهَاكُمُ ٱللَّهُ عَنِ ٱلَّذِينَ لَمْ يُقَٰتِلُوكُمْ فِى ٱلدِّينِ وَلَمْ يُخْرِجُوكُم مِّن دِيَٰرِكُمْ أَن تَبَرُّوهُمْ وَتُقْسِطُوٓا۟ إِلَيْهِمْ ۚ إِنَّ ٱللَّهَ يُحِبُّ ٱلْمُقْسِطِينَ".

Allah hakukatazeni kuwafanyia wema na kuwaonyesha uadilifu wale ambao hawakukupigeni vita kwa ajili ya dini wala hawakuwatoa katika nyumba zenu hakika Allah anawapenda wafanyao uadilifu.

Kwa hiyo Qur'an 9:5 inapaswa kueleweka katika muktadha wake wa kihistoria ikielekeza hatua dhidi ya wale waliovunja mkataba wa Hudaybiyyah na kuanzisha uhasama si dhidi ya washirikina wote kwa ujumla🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽.
 
Muslim kila siku wanaanzisha uchokozi wakirudiwa wao wanaona wanaonewa wanabadilisha story nzima. wao wanataka iwe kama kwenye mpira acheze yeye rafu akirudishiwa anataka aliyerudisha apewe kadi nyekundu.

Quran inasisitiza wasio waislam wauliwe wote. ni kwamba hawana uwezo tu na Allah angekuwa ni Mungu wa Kweli angeshatumaliza sisi wenye Mungu wa Kweli anayetulinda
 
Aya inayosema inapatikana katika
Qur'an 9:5 inasema:

"Basi itakapokwisha miezi mitukufu waueni washirikina popote mtakapowakuta na wakamateni na wawazingire na waotee kila mahali pa kuwavizia. Lakini wakitubu na wakaswali na wakatoa Zaka basi waachilieni njia yao. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa kusamehe Mwenye kurehemu".

Aya hiyo iliteremshwa katika muktadha wa kuvunjwa kwa mikataba na baadhi ya washirikina wa Makka waliovunja ahadi zao na walikuwa wakifanya uadui dhidi ya Waislamu wala haielekezi kuchukua hatua kwa kila mushrikina bila sababu ya uadui au kuvunja mkataba.

Mkataba uliovunjwa unaohusiana na Qur'an 9:5 ni (Mkataba wa Hudaybiyyah) ambao ulifikiwa mwaka 628 CE kati ya Mtume Muhammadi (s.a.w) na washirikina wa Makka hasa kabila la Quraysh Mkataba huu ulikuwa wa amani na usitishaji wa vita kwa muda wa miaka kumi.

Baadhi ya makabila washirika wa Quraysh kama vile (Banu Bakr) walivunja mkataba huo kwa kushambulia washirika wa Waislamu (kabila la Banu Khuza'ah) ambao walikuwa wameingia katika mkataba wa amani na Waislamu. Na kabila la Quraysh waliunga mkono mashambulizi haya jambo lililokuwa ukiukaji wa wazi wa masharti ya mkataba.

Kutokana na kuvunjwa kwa mkataba huo ndiyo Qur'an 9:5 iliteremshwa kwa ajili ya kutoa mwongozo kwa Waislamu kuhusu jinsi ya kushughulikia wale waliovunja ahadi zao aya hii haikuwa amri ya jumla dhidi ya washirikina wote bali ililenga wale waliovunja mikataba yao na kuanzisha uadui dhidi ya Waislamu.

Wanazuoni wengi wamesisitiza kwamba aya hiyo haiwezi kutumiwa kiholela dhidi ya wasiokuwa Waislamu kwa nje ya muktadha wake wa vita au uadui wa moja kwa moja.

Kuna aya zinazoeleza kuishi kwa amani na wasiokuwa Waislamu walioko katika hali ya amani tazama
Qur'an 60:8 inasema:
"لَا يَنْهَاكُمُ ٱللَّهُ عَنِ ٱلَّذِينَ لَمْ يُقَٰتِلُوكُمْ فِى ٱلدِّينِ وَلَمْ يُخْرِجُوكُم مِّن دِيَٰرِكُمْ أَن تَبَرُّوهُمْ وَتُقْسِطُوٓا۟ إِلَيْهِمْ ۚ إِنَّ ٱللَّهَ يُحِبُّ ٱلْمُقْسِطِينَ".

Allah hakukatazeni kuwafanyia wema na kuwaonyesha uadilifu wale ambao hawakukupigeni vita kwa ajili ya dini wala hawakuwatoa katika nyumba zenu hakika Allah anawapenda wafanyao uadilifu.

Kwa hiyo Qur'an 9:5 inapaswa kueleweka katika muktadha wake wa kihistoria ikielekeza hatua dhidi ya wale waliovunja mkataba wa Hudaybiyyah na kuanzisha uhasama si dhidi ya washirikina wote kwa ujumla🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽.
 
Kwa hiyo hamasi waliyouwa wayahudi ulitaka wayahudi wakenue meno so ndiyo.
 
Utandawazi kwa muda mrefu umekuwa dhidi ya maslahi ya Waislamu, kiasi kwamba kuna dhana iliyoenea mijini na mitaani na kwa wanachama wengi wa JF kwamba Uislamu ni shida duniani, na kwamba hii ni dini ya kuripua na kuua watu.

Ukweli wa matukio yanayoendelea sasa duniani na yale ya kihistoria ni kinyume kabisa na dhana hiyo, na inashangaza kwamba wanaoamini hivyo hawaoni haya kuleta madai hayo.

Kinachofanywa na Mayahudi kule Gaza na Palestina kwa takriban miaka miwili ni kitu kibaya sana kiubinadamu. Kwa bahati, safari hii ubaya huo umekuwa ukioneshwa mubashara kote duniani, japo haijasaidia sana kusitisha balaa hilo kwa Wapalestina.

Mbinu wanazotumia Mayahudi kwa Waislamu wa Palestina zinalingana sana na zile walizotumia Wakristo kwa taifa la Kiislamu la Bosnia katikati ya Ulaya. Wote wamekuwa wakiwaua Waislamu bila huruma na kubomoa majumba yao.

Kilichozidi kwa Mayahudi ni ukatili wa kuwanyima chakula, na wanapokuwa wamekuwa na njaa sana, wanawawekea chakula sehemu kama wanavyotegeshwa wanyama, na wanapofika wanawaua kwa risasi. Mpaka sasa, inakisiwa wameshawaua 65,000 na idadi kubwa kuwafanya wawe vilema wanaoishi kwenye mahema.

Ama kwa upande wa Bosnia, Wakristo waliua takriban watu laki tatu kwa kuvamia vijiji na miji yao na kuwamiminia risasi kila waliyempata bila kubagua umri wala jinsia. Baada ya hapo, walibomoa majumba yao na kuchoma moto misikiti.

Kinachofanana sana kwa mazingira kati ya wauwaji hawa ni kukaliwa kimya wanachokifanya na kuungwa mkono na mataifa makubwa.

Kilichotofauti ni kuwa Katibu Mkuu wa UN wakati wa mauaji ya Wakristo kwa Waislamu katika vita vya Bosnia alikuwa na sera za kuunga mkono Wakristo wenzake, wakati yule anayeshuhudia mauaji ya Wapalestina kutoka kwa Mayahudi, japo ni Mkristo, amepinga waziwazi unyama huo.

Kwengineko ambako Wakristo wamewaua mamilioni ya Waislamu bila sababu za maana ni Iraq, Afghanistan, na Libya, chini ya watawala wao wenye misimamo mikali ya Kikristo.
Ingeleta maana zaidi kama ungeandika hivi:-
Wanachofanya mayahudi kwa waislamu wa Gaza ndicho walichofanya wakristo kule Bosnia, na ndicho walichofanya waislamu kule Uturuki dhidi ya wakristo kipindi cha Othoman, mpaka sasa makanisa ya kale yamebaki ni makumbusho na utalii.
 
Vipi SUDAN? Hapi Dafur weusi wanachinjwa kama kaka
Hamas si warudishe mateka waliokamata bila kosa lolote???

Mateka wakiwa wamerudishwa wote sizan Kama Israel itakua na kisingizio kingine mbele ya uso wa dunia (umoja wa mataifa) ambao Wengi wamemgeuka Netanyahu karata pekee aliyo baki nayo ni mateka Ndio maana Netanyahu alivyo ona mateka wote wanakaribia kuachiwa na mipango yake haijatimia akavunja makubaliano ili Tu aendeleze mapigano

Shida ya hawa mbumbumbu Hamas na warabu ni pride na ego kuonesha kua bado wanaweza kupigana wakati kila siku unazika watu wako wasio na hatia (kina mama na watoto)100 Lakn bado wanajifanya wajuaji

Kukubali kushindwa kabla haijawa too late nao ni ushindi sasa hii ya Netanyahu kuitaka gaza yote mazima sijui Hamas wanafanya hesabu gani za vita maana kila siku hali inazidi kua mbaya
Ushauri wako sidhani kama ni wa maana.Na nina uhakika Hamas wakikusikia hawawezi kukuzingatia.
Shida ya Israel na Netanyahu ni zaidi kuliko mateka.Hakuna ahadi na makubaliano utakayofanya na mayahudi ukafanikiwa.
wewe mwenyewe umeshuhudia katika kipindi
Vipi SUDAN?
Hapi Dafur weusi wanachinjwa kama kaka
Nallo ni jambo baya.Lakini hatujawahi kusikia kasi ya mauwaji ya Gaza ya 100/siku.Na hatujasikia kuzuiliwa chakula.
 
Hujaskia vifo 170/ day Dafur,
Watu wanakula majani ya mifugo hujaskia

HAMAS aachie mateka tuone kama Israel ataendeleza vita
 
Yaani ni kwamba watu wanachukulia haya mambo kimzaha, Israel imedhamiria kabisa tena Kwa moyo mkunjufu na madhubuti kabisa kuzidi kuchukua maeneo.

Jordan, Saud Arabia, Syria,Egypt hawa wote ardhi zao zitakuja kuchukuliwa na kumezwa, si mmeona jinsi wale wapalestina wanavyobanwa na kuhamishwa, kulazimishwa kuhama kwenye makazi waliyokuwepo miaka mingi, basi ndivyo kitakachowakuta hao Jamaa niliotaja hapo juu, waombe Sana mitazamo ya waisrael na viongozi wake ibadilike, kipindi hicho kitafika.

Vile vile itakuwa ni disaster kubwa Kwa hao waarabu kama wale Far right wing kama Ben Gvir akaja kuchukua uwaziri mkuu wa Israel, wale the so called Jews wanaamini hivyo vipande vya ardhi vya nchi nilizotaja ni Mali yao na haya wanafundishwa kuanzia chekechea na elimu ya juu.

Naiona vita Kali kubwa ya kidini au tuseme kiimani Baina ya Muslims na Jews sambamba na kuangushwa zile Falme na sheikdom huko middle east.
 
HAMAS aachie mateka tuone kama Israel ataendeleza vita
Unataka kufanyia majaribio jambo ambalo limeshathibitishwa kuwa halipo.
Hamas wanawajua sana mayahudi ndio maana safari hii wameamua kula nao sahani moja.Ataua mpaka wataisha au Israeal itaishiwa lakini hakuna kusalimu amri wala kuingia nao mikataba ya kijanja.
 
Naiona vita Kali kubwa ya kidini au tuseme kiimani Baina ya Muslims na Jews sambamba na kuangushwa zile Falme na sheikdom huko middle east.
Uko sahihi kabisa.Hii vita inakoelekea itageuka sana na watu wa mashariki ya kati watabadilika sana kupelekea falme zote kupinduliwa au kupinduka kwa qudra za Allah.
Kilichodhahiri ni kuwa Israel ina mpango wa uroho mkubwa wa maeneo lakini haitaweza kuyatawala.Haina nguvu na ujanja wa kuwatawala waislamu wote wa mashariki ya kati.
 
Waliua kwa jina la Yesu?
Manake kuna watu kusudi waue laz
Utandawazi kwa muda mrefu umekuwa dhidi ya maslahi ya Waislamu, kiasi kwamba kuna dhana iliyoenea mijini na mitaani na kwa wanachama wengi wa JF kwamba Uislamu ni shida duniani, na kwamba hii ni dini ya kuripua na kuua watu.

Ukweli wa matukio yanayoendelea sasa duniani na yale ya kihistoria ni kinyume kabisa na dhana hiyo, na inashangaza kwamba wanaoamini hivyo hawaoni haya kuleta madai hayo.

Kinachofanywa na Mayahudi kule Gaza na Palestina kwa takriban miaka miwili ni kitu kibaya sana kiubinadamu. Kwa bahati, safari hii ubaya huo umekuwa ukioneshwa mubashara kote duniani, japo haijasaidia sana kusitisha balaa hilo kwa Wapalestina.

Mbinu wanazotumia Mayahudi kwa Waislamu wa Palestina zinalingana sana na zile walizotumia Wakristo kwa taifa la Kiislamu la Bosnia katikati ya Ulaya. Wote wamekuwa wakiwaua Waislamu bila huruma na kubomoa majumba yao.

Kilichozidi kwa Mayahudi ni ukatili wa kuwanyima chakula, na wanapokuwa wamekuwa na njaa sana, wanawawekea chakula sehemu kama wanavyotegeshwa wanyama, na wanapofika wanawaua kwa risasi. Mpaka sasa, inakisiwa wameshawaua 65,000 na idadi kubwa kuwafanya wawe vilema wanaoishi kwenye mahema.

Ama kwa upande wa Bosnia, Wakristo waliua takriban watu laki tatu kwa kuvamia vijiji na miji yao na kuwamiminia risasi kila waliyempata bila kubagua umri wala jinsia. Baada ya hapo, walibomoa majumba yao na kuchoma moto misikiti.

Kinachofanana sana kwa mazingira kati ya wauwaji hawa ni kukaliwa kimya wanachokifanya na kuungwa mkono na mataifa makubwa.

Kilichotofauti ni kuwa Katibu Mkuu wa UN wakati wa mauaji ya Wakristo kwa Waislamu katika vita vya Bosnia alikuwa na sera za kuunga mkono Wakristo wenzake, wakati yule anayeshuhudia mauaji ya Wapalestina kutoka kwa Mayahudi, japo ni Mkristo, amepinga waziwazi unyama huo.

Kwengineko ambako Wakristo wamewaua mamilioni ya Waislamu bila sababu za maana ni Iraq, Afghanistan, na Libya, chini ya watawala wao wenye misimamo mikali ya Kikristo.
ima waseme Takbiir
 
Hapana Uislamu siyo imani ya hatari wala Vurugu misimamo mikali ni matendo ya wachache na si mafundisho ya Uislamu

Na Uislamu ni Dini ya Mungu aliye mmoja na unasisitiza Amani

(Qur'an 21:107 "Hatukukutuma (Muhammad) ila uwe rehema kwa walimwengu"
KUINGIA UISLAMU BURE,KUTOKA UNAACHA KICHWA
Ibn Abbas amesema:

"Mtume wa Mwenyezi Mungu (Rehema na Amani zimshukie) amesema: Yeyote atakayebadili dini yake, basi muueni."

Daraja la Hadithi: Sahihi
Rejea: Sunan An-Nasa’i, Hadithi Na. 4059

Grade: Sahih (Darussalam)
Reference : Sunan an-Nasa'i 4059
In-book reference : Book 37, Hadith 94
English translation : Vol. 5, Book 37, Hadith 4064
 
Back
Top Bottom