Wanachofeli CHADEMA ni kuuhusisha Ukristo hususani Ukatoliki na ukombozi wa nchi

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
25,968
Reaction score
36,044
Suala la udini kwa namna moja au nyingine ndilo kikwazo kikubwa kinachorudisha nyuma ukombozi wa nchi.

Kuna waislamu wanataka kuwaunga mkono chadema ila kila wakifikiria uongozi mzima wa chadema umejaa wakristo na wanahusisha moja kwa moja kanisa kwenye ukombozi wa nchi ndipo wanapofeli mazima ,

Sijaona mahali popote Chadema wakiwahusisha masheikh kwenye ukombozi wa nchi, hii inahashiria kwamba Chadema wakichukua nchi waislamu watakiona cha moto, haki za waislamu zitakandamizwa na wakristo sanasana wakatoriki ndio watakaopewa vipaumbele zaidi.

Kama taifa tunapitia kipindi kigumu sana.

Samia na genge lake hatuwakubali, na wanaturudisha nyuma sana watanganyika na kupajenga kwao zanzibar,

Ila na hawa wengine nao wanakatisha sana tamaa, strategies zao sio sahihi kabisa.
 
Unasahau uhusiano baina ya Nyerere, Ukatoliki na Ukombozi wa baadhi ya nchi za Afrika. Udini unauona wewe. Katoliki wanamjenga mtu kiakili, kimwili na kiroho. Sie wengine kunajengana upande mmoja wa kiroho zaidi tunasahau mtu hakamiliki kiroho tu.
 
Nchi hii huyo nyerere alisaidiwa uhuru na waislamu huku hao wakatoliki wako wakiwakumbatia wazungu, unaongea ujinga gani
 
Unasahau uhusiano baina ya Nyerere, Ukatoliki na Ukombozi wa baadhi ya nchi za Afrika. Udini unauona wewe. Katoliki wanamjenga mtu kiakili, kimwili na kiroho. Sie wengine kunajengana upande mmoja wa kiroho zaidi tunasahau mtu hakamiliki kiroho tu.
Nchi huyo nyerere alisaidiwa uhuru na waislamu huku hao wakatoliki wako wakiwakumbatia wazungu
Suala la udini kwa namna moja au nyingine ndilo kikwazo kikubwa kinachorudisha nyuma ukombozi wa nchi.

Kuna waislamu wanataka kuwaunga mkono chadema ila kila wakifikiria uongozi mzima wa chadema umejaa wakristo na wanahusisha moja kwa moja kanisa kwenye ukombozi wa nchi ndipo wanapofeli mazima ,

Sijaona mahali popote Chadema wakiwahusisha masheikh kwenye ukombozi wa nchi, hii inahashiria kwamba Chadema wakichukua nchi waislamu watakiona cha moto, haki za waislamu zitakandamizwa na wakristo sanasana wakatoriki ndio watakaopewa vipaumbele zaidi.

Kama taifa tunapitia kipindi kigumu sana.

Samia na genge lake hatuwakubali, na wanaturudisha nyuma sana watanganyika na kupajenga kwao zanzibar,

Ila na hawa wengine nao wanakatisha sana tamaa, strategies zao sio sahihi kabisa.
Na huo ndio ukweli wale jamaa ni wadini mi mwenyewe nikimuona muislamu anashabikia chadema namuona mjinga na hajielewi
 
Suala la udini kwa namna moja au nyingine ndilo kikwazo kikubwa kinachorudisha nyuma ukombozi wa nchi.

Kuna waislamu wanataka kuwaunga mkono chadema ila kila wakifikiria uongozi mzima wa chadema umejaa wakristo na wanahusisha moja kwa moja kanisa kwenye ukombozi wa nchi ndipo wanapofeli mazima ,

Sijaona mahali popote Chadema wakiwahusisha masheikh kwenye ukombozi wa nchi, hii inahashiria kwamba Chadema wakichukua nchi waislamu watakiona cha moto, haki za waislamu zitakandamizwa na wakristo sanasana wakatoriki ndio watakaopewa vipaumbele zaidi.

Kama taifa tunapitia kipindi kigumu sana.

Samia na genge lake hatuwakubali, na wanaturudisha nyuma sana watanganyika na kupajenga kwao zanzibar,

Ila na hawa wengine nao wanakatisha sana tamaa, strategies zao sio sahihi kabisa.

Niambie uliona wapi ukatoliki ukafeli? Na lete ushahidi ukatoliki uko nyuma ya CDM? Udini umekuwa mtaji mkubwa kwa waislamu pale Rais anapokuwa muislamu. Ili wajenge na kutekeleza maslahi ambayo kusema kweli yanawanufaisha wachache.

Yana wanufaisha wachache sababu wafuasi walio wengi ni wale tunawaita Oya Oya...wafuata mkumbo.

Nchi hii si mali ya CDM wala si mali ya CCM. Ni mali ya watanzania wote. Wana haki na nchi yao alimuradi hawavunji sheria...hilo msisahau.

Huko mbele ya safari wengi mtajikataa na majuto atakuwa mjukuuu
 
Wamefeli mara nyingi tu kwani dp world iliishia wapi wakapayuka payuka, kifupi hakuna wa kushindana na serikali duniani popote watu huwa wanajidanganya tu
 
Niambie uliona wapi ukatoliki ukafeli? Na lete ushahidi ukatoliki uko nyuma ya CDM? Udini umekuwa mtaji mkubwa kwa waislamu pale Rais anapokuwa muislamu. Ili wajenge na kutekeleza maslahi ambayo kusema kweli yanawanufaisha wachache.

Yana wanufaisha wachache sababu wafuasi walio wengi ni wale tunawaita Oya Oya...wafuata mkumbo.

Nchi hii si mali ya CDM wala si mali ya CCM. Ni mali ya watanzania wote. Wana haki na nchi yao alimuradi hawavunji sheria...hilo msisahau.

Huko mbele ya safari wengi mtajikataa na majuto atakuwa mjukuuu
Waislam uwa awaangaiki na udini hata rais akiwa mkristo,cabinet ya jpm ilikua na waislam 3 tu,hakuna muislam alilalamika,cabinet ya mama 65% wakristo,wakuu wa vyombo vya usalama vyote,1 ndio muislam,waliobaki wote wakristo,lakini bado serikali inaambiwa inapendelea waislam!
 
Tutawafanya kama tulivyofanya
Ilikuwa ni onyo hii nchi haitakalika
Kwasasa wamebaki kidomodino tu mitandaoni
 
Suala la udini kwa namna moja au nyingine ndilo kikwazo kikubwa kinachorudisha nyuma ukombozi wa nchi.

Kuna waislamu wanataka kuwaunga mkono chadema ila kila wakifikiria uongozi mzima wa chadema umejaa wakristo na wanahusisha moja kwa moja kanisa kwenye ukombozi wa nchi ndipo wanapofeli mazima ,

Sijaona mahali popote Chadema wakiwahusisha masheikh kwenye ukombozi wa nchi, hii inahashiria kwamba Chadema wakichukua nchi waislamu watakiona cha moto, haki za waislamu zitakandamizwa na wakristo sanasana wakatoriki ndio watakaopewa vipaumbele zaidi.

Kama taifa tunapitia kipindi kigumu sana.

Samia na genge lake hatuwakubali, na wanaturudisha nyuma sana watanganyika na kupajenga kwao zanzibar,

Ila na hawa wengine nao wanakatisha sana tamaa, strategies zao sio sahihi kabisa.
UKATORIKI? AU UKATOLIKI?
 
Screenshot_20261103-033856.png
 
Ukatoriki ndo Nini???? Acha double standards! Unajulikana vizuri kuwa ww ni sheikh!. Acha kuzunguka zunguka waislamu ni watu ambao hawafai kabisa kuhusishwa kwenye mambo ya kudai haki,Kwasababu hawajui hata haki ni nini!!! Angalia nchi nyingi za kiislamu duniani ni majanga matupu.
 
😁😁😁.. Et hawafai kwenye kudai haki.. UNAJAMBAJAMBA hapo kwa amani na uhuru walioleta hao hao waislam. Kasome historia ya nchi hii mkuu
 
Suala la udini kwa namna moja au nyingine ndilo kikwazo kikubwa kinachorudisha nyuma ukombozi wa nchi.

Kuna waislamu wanataka kuwaunga mkono chadema ila kila wakifikiria uongozi mzima wa chadema umejaa wakristo na wanahusisha moja kwa moja kanisa kwenye ukombozi wa nchi ndipo wanapofeli mazima ,

Sijaona mahali popote Chadema wakiwahusisha masheikh kwenye ukombozi wa nchi, hii inahashiria kwamba Chadema wakichukua nchi waislamu watakiona cha moto, haki za waislamu zitakandamizwa na wakristo sanasana wakatoriki ndio watakaopewa vipaumbele zaidi.

Kama taifa tunapitia kipindi kigumu sana.

Samia na genge lake hatuwakubali, na wanaturudisha nyuma sana watanganyika na kupajenga kwao zanzibar,

Ila na hawa wengine nao wanakatisha sana tamaa, strategies zao sio sahihi kabisa.
Chai☕️, una point lakini Chadema hawana sera yeyote inayotegemea ukristo au uislam, kama unayo weka hapa tujue ukweli
 
Suala la udini kwa namna moja au nyingine ndilo kikwazo kikubwa kinachorudisha nyuma ukombozi wa nchi.

Kuna waislamu wanataka kuwaunga mkono chadema ila kila wakifikiria uongozi mzima wa chadema umejaa wakristo na wanahusisha moja kwa moja kanisa kwenye ukombozi wa nchi ndipo wanapofeli mazima ,

Sijaona mahali popote Chadema wakiwahusisha masheikh kwenye ukombozi wa nchi, hii inahashiria kwamba Chadema wakichukua nchi waislamu watakiona cha moto, haki za waislamu zitakandamizwa na wakristo sanasana wakatoriki ndio watakaopewa vipaumbele zaidi.

Kama taifa tunapitia kipindi kigumu sana.

Samia na genge lake hatuwakubali, na wanaturudisha nyuma sana watanganyika na kupajenga kwao zanzibar,

Ila na hawa wengine nao wanakatisha sana tamaa, strategies zao sio sahihi kabisa.
Watakwambia wapo na shura ya maimamu muda huohuo sheikh ponda wanamuita gaidi katika harakati za kudai mahakama ya kadhi
 
Back
Top Bottom