Wanachofeli CHADEMA ni kuuhusisha Ukristo hususani Ukatoliki na ukombozi wa nchi

Wanachofeli CHADEMA ni kuuhusisha Ukristo hususani Ukatoliki na ukombozi wa nchi

Chai☕️, una point lakini Chadema hawana sera yeyote inayotegemea ukristo au uislam, kama unayo weka hapa tujue ukweli
Viongozi wote wa chadema ni wakristo.

Na mambo yao yote wanahusisha kanisa katoliki.

Hii inaashiria nini?
 
Wewe ni mkristo au Muislamu? Tuanzie hapo, toka lini mulishawahi kuwaona masheikh wanaongelea haki? Na hasa rais anapokuwa muislamu? Wakatoliki wana historia ya kupinga maamuzi ya ovyo ya serikali bila kujali rais mkristo au Muislamu, tatizo waislamu wanapenda kukimbilia kwa religion base kutafuta huruma. Mfano sula la MO29 Wasialmu wanaliona kuwa ni la wakristo zaidi na kwamba wao haliwahusu kwa kuwa rais aliyeagiza mauajia ni muislamu. Halafu kuna kitu ambacho watu hawajui, mtu anapotekwa na kupotezwa na kiongozi wa nchi akakaa kimya maana yake yeye anahusika.
Wakristo kwa hili hapana.

Chadema tutawaunga mkono kama pale tu hawatuhusisha mambo ya dini kwenye kulikomboa taifa.
 
Suala la udini kwa namna moja au nyingine ndilo kikwazo kikubwa kinachorudisha nyuma ukombozi wa nchi.

Kuna waislamu wanataka kuwaunga mkono chadema ila kila wakifikiria uongozi mzima wa chadema umejaa wakristo na wanahusisha moja kwa moja kanisa kwenye ukombozi wa nchi ndipo wanapofeli mazima ,

Sijaona mahali popote Chadema wakiwahusisha masheikh kwenye ukombozi wa nchi, hii inahashiria kwamba Chadema wakichukua nchi waislamu watakiona cha moto, haki za waislamu zitakandamizwa na wakristo sanasana wakatoriki ndio watakaopewa vipaumbele zaidi.

Kama taifa tunapitia kipindi kigumu sana.

Samia na genge lake hatuwakubali, na wanaturudisha nyuma sana watanganyika na kupajenga kwao zanzibar,

Ila na hawa wengine nao wanakatisha sana tamaa, strategies zao sio sahihi kabisa.
Wewe ndiye unafeli na wenye mitazamo kama wako. Wewe unayeangalia viongozi ni dini gani ndiyo uwaunge mkono. Umeambiwa hicho ni chama cha kuhubiri dini? Hujui kuna watanzania wengi tu hawana dini?
 
Wewe ndiye unafeli na wenye mitazamo kama wako. Wewe unayeangalia viongozi ni dini gani ndiyo uwaunge mkono. Umeambiwa hicho ni chama cha kuhubiri dini? Hujui kuna watanzania wengi tu hawana dini?
Una akili timamu?
 
Back
Top Bottom