Wanachofeli CHADEMA ni kuuhusisha Ukristo hususani Ukatoliki na ukombozi wa nchi

😁😁😁.. Et hawafai kwenye kudai haki.. UNAJAMBAJAMBA hapo kwa amani na uhuru walioleta hao hao waislam. Kasome historia ya nchi hii mkuu
Ww kiazi kweli bado upo kwenye historia??? (Forged history)
 
Wewe ni mkristo au Muislamu? Tuanzie hapo, toka lini mulishawahi kuwaona masheikh wanaongelea haki? Na hasa rais anapokuwa muislamu? Wakatoliki wana historia ya kupinga maamuzi ya ovyo ya serikali bila kujali rais mkristo au Muislamu, tatizo waislamu wanapenda kukimbilia kwa religion base kutafuta huruma. Mfano sula la MO29 Wasialmu wanaliona kuwa ni la wakristo zaidi na kwamba wao haliwahusu kwa kuwa rais aliyeagiza mauajia ni muislamu. Halafu kuna kitu ambacho watu hawajui, mtu anapotekwa na kupotezwa na kiongozi wa nchi akakaa kimya maana yake yeye anahusika.
 
Sasa kama hao mashekhe wote wame amua kuchagua upande wao utawalazimisha?
 
Unasahau uhusiano baina ya Nyerere, Ukatoliki na Ukombozi wa baadhi ya nchi za Afrika. Udini unauona wewe. Katoliki wanamjenga mtu kiakili, kimwili na kiroho. Sie wengine kunajengana upande mmoja wa kiroho zaidi tunasahau mtu hakamiliki kiroho tu.

Kiroho ipi ?
 
Nchi huyo nyerere alisaidiwa uhuru na waislamu huku hao wakatoliki wako wakiwakumbatia wazungu

Na huo ndio ukweli wale jamaa ni wadini mi mwenyewe nikimuona muislamu anashabikia chadema namuona mjinga na hajielewi
Kwa hiyo waislamu chama chao nikipi nijiunge
 
Wewe naye ni mweu ..tofsuti ya uislamu na upumbavu ni majina tu
 
ndo utajua panya ni kitukuu cha ngururwe
 
Punguza mdomo kwani nani alyekwambia kuna muislamu anashindana na mkristo.
wewe uliyiyepayuka catholics haijawahi kushindwa tunakuuliza chuki zenu kwa dp world ziliishia wapi????

Hizi topic za udini anazileta nani? Kwa faida ya nani? Badala ya kuongelea hoja za utanzania wetu, kuna watu wachache kwa makusudi wanaleta hoja za kuunganisha udini ili waendelee kufanya wizi na ufujaji wao.

Tanzania ni ya watanzania. Udini unatumika na wanasiasa waliofeli na wanaochukia kuambiwa ukweli
 
Unasahau uhusiano baina ya Nyerere, Ukatoliki na Ukombozi wa baadhi ya nchi za Afrika. Udini unauona wewe. Katoliki wanamjenga mtu kiakili, kimwili na kiroho. Sie wengine kunajengana upande mmoja wa kiroho zaidi tunasahau mtu hakamiliki kiroho tu.
Chai
 
Usikurupuke.

Soma uzi kwa kutulia.
 
Ndipo wanapofeli chadema na wakatoliki hapo.
 
Ndipo mnapofeli Chadema hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…