Wanachofeli CHADEMA ni kuuhusisha Ukristo hususani Ukatoliki na ukombozi wa nchi

😁😁😁.. Et hawafai kwenye kudai haki.. UNAJAMBAJAMBA hapo kwa amani na uhuru walioleta hao hao waislam. Kasome historia ya nchi hii mkuu
Yani wanaonesha chuki ya wazi kwa waislamu.
 
Chaiβ˜•οΈ, una point lakini Chadema hawana sera yeyote inayotegemea ukristo au uislam, kama unayo weka hapa tujue ukweli
Viongozi wote wa chadema ni wakristo.

Na mambo yao yote wanahusisha kanisa katoliki.

Hii inaashiria nini?
 
Wakristo kwa hili hapana.

Chadema tutawaunga mkono kama pale tu hawatuhusisha mambo ya dini kwenye kulikomboa taifa.
 
Wewe ndiye unafeli na wenye mitazamo kama wako. Wewe unayeangalia viongozi ni dini gani ndiyo uwaunge mkono. Umeambiwa hicho ni chama cha kuhubiri dini? Hujui kuna watanzania wengi tu hawana dini?
 
Wewe ndiye unafeli na wenye mitazamo kama wako. Wewe unayeangalia viongozi ni dini gani ndiyo uwaunge mkono. Umeambiwa hicho ni chama cha kuhubiri dini? Hujui kuna watanzania wengi tu hawana dini?
Una akili timamu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…