Wanachokifanya Raja ni kinyume na haki za binadamu

Wanachokifanya Raja ni kinyume na haki za binadamu

Gordian Anduru

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2021
Posts
369
Reaction score
747
Yaani wao wanakuwa na magoli ya kufunga 13, wakati wenzao woote wana magoli mawili mawili dah hii siyo haki.

raja.jpg
 
Bila Simba kushiriki mashindano haya ya CL, ungekuwa unaisikia Raja kwenye radio tu mwaka huu. Bila ushiriki wa Simba, Tanzania tusingekuwa na timu CL.
 
Back
Top Bottom