jamani you people hivi tunaongelea kupenda kwa maana gani?mara nyingi sana kwa ufaham wangu finyu humu mmu huwa tunapoongelea kupenda tunamaanisha kimapenzi zaid lakini hata katika mapenzi pamegawanyika pia kuna mapenzi kati ya bf /gf na kati ya husband and wife.
nafikiri huwez kupata majibu sahihi ya unampenda kivipi kama hutoweza kudistinguish haya. mengine kwangu mimi ipo tu kwa sababu ipo.