Shukrani sana kwa wote mliochangia mada hii, lengo lilikua kujua hasa sababu zinazoweza kumfanya mwanamke ampende au kuvutiwa kuwa na mwanaume...kwa yeyote mwenye sababu ya tofauti anakaribishwa
jamani you people hivi tunaongelea kupenda kwa maana gani?mara nyingi sana kwa ufaham wangu finyu humu mmu huwa tunapoongelea kupenda tunamaanisha kimapenzi zaid lakini hata katika mapenzi pamegawanyika pia kuna mapenzi kati ya bf /gf na kati ya husband and wife.
nafikiri huwez kupata majibu sahihi ya unampenda kivipi kama hutoweza kudistinguish haya. mengine kwangu mimi ipo tu kwa sababu ipo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.