Wanachopaswa kufanya CHADEMA baada ya Tamko la Polisi

Kwani kumpokea Lisu kunahusianaje na mazishi ya mkapa?
watakao kwenda msibani waende na sisi tutakao kwenda kumpokea Lisu tutaenda.
mbona hivi ni vitu viwili tofauti kabisa? Au Mnataka mtulazimishe wote twende kwenye mazishi?
 
Msiba hauna uzito kwa wanyonge! Huo ni wa ikulu na ccm tu.
 

Wauwaji wa Lissu wana weweseka manina. Ameshinda mauti Lissu sasa yu hai
 
Chadema pale wamejaa vijana wasiojielewa ndio wanamshauri Mwenyekiti, unategemea nini kitokee.
 
Ni kuvunja miguu tu yeyote atakaepeleka pua yake kumuona huyu mpuuzi lissu
so utafaidika nini mkuu taifa hili tutaliabu sisi wenyewe kwa ulibuken na ushamba wetu wenyewe,
mfano umevunja mguu mtu je wewe ulievunja utaishi milele ,tuache ushabiki wa kipuuzi hautusaidii lolote
mkuu ,
 

Holy Crap, Planning ya Mapokezi ya Lissu imeanza Leo ?
Si ilikuwa even Before the Death Of BWM ?
Planning ipi iliyo Fail ?
 
The late former POTURT ndiye aliyemuweka ndani T.A.M.L aliporudi Tz toka nnje. Na tena ndiye aliyemletea za kuleta wakati anapigania watu wa " madinini".
 

Uko sahihi sana, na una maelezo yanayoingia akilini. Je siku ile wafuasi wa cdm wametaka kukusanyika ili wamuombee wakakataliwa, kulikuwa na msiba wa kiongozi gani? Mbona wakati ule hukuanzisha uzi wa kuishutumu polisi kuwazuia cdm, wakati hakuna msiba? Au ushauri wako unaoongozwa na mambo ya mahaba niue?
 

Lisu alipopigwa risasi, Mkapa aliwahi kutoa pole? Ama Mkapa naye alikuwa mwanaharakati? Mkapa alipokuwa aliwaita wapinzani malofa naye alikuwa mwanaharakati?
 
Timing ni mbaya wangekua wanajifunza kama ile Corona bungeni wangejipanga upya
 
Kwani kumpokea Lisu kunahusianaje na mazishi ya mkapa?
watakao kwenda msibani waende na sisi tutakao kwenda kumpokea Lisu tutaenda.
mbona hivi ni vitu viwili tofauti kabisa? Au Mnataka mtulazimishe wote twende kwenye mazishi?
Wanachotaka ni Lissu asipokelewe. Walisema harudi sasa ni dhahiri anarudi, kama si Mkapa wangetafuta kisingizio chochote. Karibu Lissu Tanzania.
 
Reactions: bne
Mkuu kitu gani kinakufanya uamini kuwa watu wote tumeguswa na kifo Cha mkapa?
 
Hiki kizazi chenu kina hasara iliyotukuka. Zile mila na Tamaduni zetu KUHUSU wafu Mama zetu hawakupata kuwaambia labda kwakua mmelelewa na Dada wa kazi zaidi.
 
Hua napata hisia, kwa hawa jamaa kupigwa risasi kwao ni faida ya kisiasa. Kwa maana kwamba ilibidi ashambuliwe ili aweze kuuzika kwa wapiga kura. Kwa akili hizi unamuwekaje binadam wa hivi Ikulu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…