Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaenda wote na tuone kama watatuvunja miguu wote. The army can’t defeat people but people can defeat the armyNi kuvunja miguu tu yeyote atakaepeleka pua yake kumuona huyu mpuuzi lissu
Msiba hauna uzito kwa wanyonge! Huo ni wa ikulu na ccm tu.Toka asubuhi nimeona taarifa za hamasa za kumpokea Tundu Lissu. Ni katika kuhamasisha mipango ya ndani ya Chadema kumtengenezea ukubwa Tundu Lissu, lakini nasikitika kusema Chadema wamefeli kwanzia planning, na execution ya Jambo la Lissu.
Nitaelezea siku nyingine hapo kwenye planning ila kwa haraka haraka, tayari walishajua kuna msiba wa kiongozi (former President) Mh Mkapa ni tukio zito katika level ya Taifa.
Alikuwa na nyadhifa mbalimbali, Rais, Mwenyekiti wa CCM na pia Amekuwa Amiri Jeshi mkuu. Attention ya taifa ni huko, Lissu anakuja kama mtu ambae anajinadi anataka kuongoza nchi, ile ni nafasi kubwa inabidi ajiweke (act as the one), kama mtu ambae atakuwa baba, mfariji na kiongozi wa wote.
Angekuja bila hyping au mbwembwe aelekee uwanja wa uhuru au nyumbani kwa Hayati Mkapa, ila kwa sababu CHADEMA hawana mipango na wao sio wanasiasa ni wanaharakati wanatafuta mob attention. Hakuna nchi inayoweza kuruhusu hilo. Msiba wa Rais (former), unatambulika kikatiba.
Ninachojua CHADEMA hawashauriki na wanapenda kushupaza shingo ila warudi wajiangalie upya.
Yaani mtu kanusurika risasi 17 halafu unasema akifika aende Taifa kwani akienda Taifa ndo Mkapa atafufuka?
Acha Mkapa apumzike Mungu alipomwandalia kutokana na matendo yake wakati yuko hai yeye kama binadamu lakini kwa dhamana akizokuwanazo jinsi alivyozitumikia na Lissu acha arudi akaione familia yake pamoja na wapendwa wake afanye tendo la kumshukuru Mungu kwa kumzawadia uhai kwa mara ya pili
Msiba hauna uzito kwa wanyonge! Huo ni wa ikulu na ccm tu.
Ni kuvunja miguu tu yeyote atakaepeleka pua yake kumuona huyu mpuuzi lissu
Kama Lumumba na dictator uchwaraCHADEMA ni sikio la kufa tu hawatakuelewa
so utafaidika nini mkuu taifa hili tutaliabu sisi wenyewe kwa ulibuken na ushamba wetu wenyewe,Ni kuvunja miguu tu yeyote atakaepeleka pua yake kumuona huyu mpuuzi lissu
Tayari mkuuUmesha saini kitabu? Hatuja ona picha yako na speech ..
Toka asubuhi nimeona taarifa za hamasa za kumpokea Tundu Lissu. Ni katika kuhamasisha mipango ya ndani ya Chadema kumtengenezea ukubwa Tundu Lissu, lakini nasikitika kusema Chadema wamefeli kwanzia planning, na execution ya Jambo la Lissu.
Nitaelezea siku nyingine hapo kwenye planning ila kwa haraka haraka, tayari walishajua kuna msiba wa kiongozi (former President) Mh Mkapa ni tukio zito katika level ya Taifa.
Alikuwa na nyadhifa mbalimbali, Rais, Mwenyekiti wa CCM na pia Amekuwa Amiri Jeshi mkuu. Attention ya taifa ni huko, Lissu anakuja kama mtu ambae anajinadi anataka kuongoza nchi, ile ni nafasi kubwa inabidi ajiweke (act as the one), kama mtu ambae atakuwa baba, mfariji na kiongozi wa wote.
Angekuja bila hyping au mbwembwe aelekee uwanja wa uhuru au nyumbani kwa Hayati Mkapa, ila kwa sababu CHADEMA hawana mipango na wao sio wanasiasa ni wanaharakati wanatafuta mob attention. Hakuna nchi inayoweza kuruhusu hilo. Msiba wa Rais (former), unatambulika kikatiba.
Ninachojua CHADEMA hawashauriki na wanapenda kushupaza shingo ila warudi wajiangalie upya.
Toka asubuhi nimeona taarifa za hamasa za kumpokea Tundu Lissu. Ni katika kuhamasisha mipango ya ndani ya Chadema kumtengenezea ukubwa Tundu Lissu, lakini nasikitika kusema Chadema wamefeli kwanzia planning, na execution ya Jambo la Lissu.
Nitaelezea siku nyingine hapo kwenye planning ila kwa haraka haraka, tayari walishajua kuna msiba wa kiongozi (former President) Mh Mkapa ni tukio zito katika level ya Taifa.
Alikuwa na nyadhifa mbalimbali, Rais, Mwenyekiti wa CCM na pia Amekuwa Amiri Jeshi mkuu. Attention ya taifa ni huko, Lissu anakuja kama mtu ambae anajinadi anataka kuongoza nchi, ile ni nafasi kubwa inabidi ajiweke (act as the one), kama mtu ambae atakuwa baba, mfariji na kiongozi wa wote.
Angekuja bila hyping au mbwembwe aelekee uwanja wa uhuru au nyumbani kwa Hayati Mkapa, ila kwa sababu CHADEMA hawana mipango na wao sio wanasiasa ni wanaharakati wanatafuta mob attention. Hakuna nchi inayoweza kuruhusu hilo. Msiba wa Rais (former), unatambulika kikatiba.
Ninachojua CHADEMA hawashauriki na wanapenda kushupaza shingo ila warudi wajiangalie upya.
Kugoma kwenda taifa kwa sababu hatafufuka hiyo ndiyo uanaharakati ndani ya Chadema. Ila pamoja na kwamba kanusurika kuuawa anarudi kama mtu ambae anataka kuwa Rais “siasa” ni kwenda kutoa pole.. unless uniambie Lissu hayupo serious na nafasi ya urais.
Word mkapa hakutia mguu pale Nairobi Wala Belgium lissu akiwa anapigania ugai wake
Acheni unafiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanachotaka ni Lissu asipokelewe. Walisema harudi sasa ni dhahiri anarudi, kama si Mkapa wangetafuta kisingizio chochote. Karibu Lissu Tanzania.Kwani kumpokea Lisu kunahusianaje na mazishi ya mkapa?
watakao kwenda msibani waende na sisi tutakao kwenda kumpokea Lisu tutaenda.
mbona hivi ni vitu viwili tofauti kabisa? Au Mnataka mtulazimishe wote twende kwenye mazishi?
Mkuu kitu gani kinakufanya uamini kuwa watu wote tumeguswa na kifo Cha mkapa?Toka asubuhi nimeona taarifa za hamasa za kumpokea Tundu Lissu. Ni katika kuhamasisha mipango ya ndani ya Chadema kumtengenezea ukubwa Tundu Lissu, lakini nasikitika kusema Chadema wamefeli kwanzia planning, na execution ya Jambo la Lissu.
Nitaelezea siku nyingine hapo kwenye planning ila kwa haraka haraka, tayari walishajua kuna msiba wa kiongozi (former President) Mh Mkapa ni tukio zito katika level ya Taifa.
Alikuwa na nyadhifa mbalimbali, Rais, Mwenyekiti wa CCM na pia Amekuwa Amiri Jeshi mkuu. Attention ya taifa ni huko, Lissu anakuja kama mtu ambae anajinadi anataka kuongoza nchi, ile ni nafasi kubwa inabidi ajiweke (act as the one), kama mtu ambae atakuwa baba, mfariji na kiongozi wa wote.
Angekuja bila hyping au mbwembwe aelekee uwanja wa uhuru au nyumbani kwa Hayati Mkapa, ila kwa sababu CHADEMA hawana mipango na wao sio wanasiasa ni wanaharakati wanatafuta mob attention. Hakuna nchi inayoweza kuruhusu hilo. Msiba wa Rais (former), unatambulika kikatiba.
Ninachojua CHADEMA hawashauriki na wanapenda kushupaza shingo ila warudi wajiangalie upya.
Hiki kizazi chenu kina hasara iliyotukuka. Zile mila na Tamaduni zetu KUHUSU wafu Mama zetu hawakupata kuwaambia labda kwakua mmelelewa na Dada wa kazi zaidi.Lissu aliugua akalazwa Nairobi, LofaBoy hakwenda kumjulia Hali Wala kutoa pole hata tamko la kulaani kitendo alichofanyiwa Lissu!
Ningekuwa Mimi Ni Lissu siyo tu kutokwenda kuombeleza kufa kwa LofaBoy Yani ningetafuta hata wachawi wamuue Mara ya pili.
#Wiki_Ya_Sikukuu_Pemba#
Hua napata hisia, kwa hawa jamaa kupigwa risasi kwao ni faida ya kisiasa. Kwa maana kwamba ilibidi ashambuliwe ili aweze kuuzika kwa wapiga kura. Kwa akili hizi unamuwekaje binadam wa hivi Ikulu?Wapumbavu na malofa kwao ni kiki ya kisiasa.
Nasisitiza kuwa kama Lissu angekuwa ni malikitu (asset) kisiasa, wapiga kura wake waliomwingiza bungeni na wanachama wa TLS (Rais wao wakati wa tukio la kushambuliwa) wangehamasishana kumpokea. Ila zumbukuku wa kisiasa wanadhani wamepata kumbe watapatikana.