smart mind69
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 227
- 377
Nishawauliza tra kwanini mapato wanakadiria mauzo na si faida hawaoni kama wanatuumiza walinijibu kwamba wanajua kama tunaumia ila wao wanafata sheria inavosema, ko kama mfanyabiashara akiri kichwan mwangu nitoe risit au nisitoeSababu tra wanaangalia mauzo hawaangalii faida uliyoingiza kadri unavoandika risit nyingi ndivo mapato yako yanapanda, mfano mimi biashara yangu nikiuza 100,000 faida ni 4,000 tra wao wanahesabu umeuza 100,000 kumbe pale umepata 4000 tu