Wanachotamani na wanachoshikililia MATAGA ni Mbowe kuwapigia magoti jambo ambalo mpaka leo hawaamini kuwa halitokei kutoka kwa Mbowe

Wanachotamani na wanachoshikililia MATAGA ni Mbowe kuwapigia magoti jambo ambalo mpaka leo hawaamini kuwa halitokei kutoka kwa Mbowe

Hujui nature na history ya Mbowe - kaa chini kijana. Ndo nakwambia waambie na hao mnaofikiri Mbowe ni mwanasiasa msaka fursa - mmepotea.
Hitimiaho la hoja yangu hujalitafakari kwa ujumla wake. Nisome tena.
 
Tun
Lkn Mbowe anaumia na hatujui anachokiwaza moyoni kwake. Yawezekana ukasikia kesho asubuhi amepiga magoti kuomba poo

Tatizo lipo kwa wafuasi wa Mbowe na watanzania wapenda demokrasia. Hivi imeshindikana kabisa kuliamsha dude mpk serikali na dola wakaomba poo???!

Kwa staili hii Mbowe atashikiliwa mpk uschaguzi mkuu wa 2025 upite
Tunalaumu Majaji na serikali lakini tunasahau kulaumu waleta Uchuro kule space na Mahakamani. Hakuna Jaji atakaye kubali kutoa uamuzi kwa kelele na shinikizo la mashabiki wanaojaribu kumuelekeza nini afanye. Mnamnyima nafasi hata ya kutumia busara ktk kutoa maamuzi.
Screenshot_20220218-213708_Chrome~2.jpg
 
Tun

Tunalaumu Majaji na serikali lakini tunasahau kulaumu waleta Uchuro kule space na Mahakamani. Hakuna Jaji atakaye kubali kutoa uamuzi kwa kelele na shinikizo la mashabiki wanaojaribu kumuelekeza nini afanye. Mnamnyima nafasi hata ya kutumia busara ktk kutoa maamuzi.View attachment 2123250
Ataka asitake, huyo Jaji na walio nyuma yake lazima waelezwe ukweli.
 
Samia anahusika vipi hapo?
SSH anajitengenezea laaana kubwa sana huyu Mbowe kapambana na Mkapa, kapambana na Kikwete kwa hoja na upendo sasa alivyoingia devil akaja kuharibu kabisa hii nchi. Ila ukweli huyu Mzanzibar anachokitafuta hatokuja kuamini watakavyomkimbia wenzake. Kesi ya kijinga sana hii. Ila acha waje mashahidi wake tuone sarakasi ya jamhuri.
 
Mtateska sana kwa kulezwa ukweli kuwa hii ni kesi ya mchongo kama huko ndio kushinikiza.
Hoja yangu ni kwamba Mbowe alipaswa kuungwa mkono kwa vitendo na siyo maneno matupu.

Yaani yeye anateseka huko mahabusu halafu mamilioni ya watu (wafuasi wake) wanaishia kuandika maandishi ya kiujumla jumla tu.

Mahakamani hawaendi, maandamano hawafanyi, kuziba barabara hawazibi, Wala hawachomi moto matairi ya gari, n.k. Sasa mfumo ukiamua kumfunga Mbowe kutatokea shu yoyote ya kukitikisa serikali ya ccm?
 
Mimi naomba Mungu amtendee kama Mwendazake,
SSH hawajui CCM vyema akimfunga Mbowe tukapigwa ban na wazungu CCM wote watamkimbia aachane na siasa za kijinga hizi. Mbowe angetaka kuwa gaidi angefanya 2015 wakati wa Lowasa, anaona sifa kumtesa mwenzake ila ajue kabisa kuna kiama chake. Siasa za wenzetu Wakenya hazina ujinga huu japo kuna ubabe ila sio wa kutesana hivi. Ngoja tuache amfunge halafu tuone atapata nini. Urais wenyewe kaupata kwa bahati ya mtende ngoja agombee tena atajuta. Nimemchukia sana huyu bibi leo.
 
Hawa watu kuanzia mwenyekiti wao wanaishi na nafsi zinazowatesa sana kwani wanajua kabisa kuna mtu wanamtesa, mtu asie na kosa wala hatia yoyote. Wanaumia na kuteseka sana wanapoona picha za Mbowe na wale washitakiwe wengine wanapoingia na kutoka mahakamani ila kwakuwa walishafanya kosa, hawana la kufanya bali kuishi na nafsi zinzowasuta.

Hivyo, ili wakwepa hii aibu, wanatamani sana kuona Mbowe anawapigia magoti jambo ambalo mpaka sasa limeshindikana na ndion maana wanachukia sana kuona Mbowe anapongezwa kwa kusimama imara kutouza utu wake.

Anyway, muda ndio utathibitisha ni nani mnufaika wa kisiasa wa hii kesi.

View attachment 2123222
Makamanda wako mbele ya Muda. T-shirt hizo wamezipata lini??👏👏👏
 
SSH hawajui CCM vyema akimfunga Mbowe tukapigwa ban na wazungu CCM wote watamkimbia aachane na siasa za kijinga hizi. Mbowe angetaka kuwa gaidi angefanya 2015 wakati wa Lowasa, anaona sifa kumtesa mwenzake ila ajue kabisa kuna kiama chake. Siasa za wenzetu Wakenya hazina ujinga huu japo kuna ubabe ila sio wa kutesana hivi. Ngoja tuache amfunge halafu tuone atapata nini. Urais wenyewe kaupata kwa bahati ya mtende ngoja agombee tena atajuta. Nimemchukia sana huyu bibi leo.
Tuendelee kumwaombea. Hayati tulimsihi sana lakini hakuwahi kusikiliza.

Kilio cha wengi kinamfikia Mwenyezi Mungu.
 
Ushindi pekee kwao ni Mbowe kupiga goti, aombe msamaha! Otherwise, hata wamuue, Mbowe atakuwa amekufa kishujaa, demokrasia na upatikanaji wa katiba mpya nchini, vitakuwa na jina jipya! Mabadiliko ndani ya taifa hili yataitwa Mbowe!
 
Hawa watu kuanzia mwenyekiti wao wanaishi na nafsi zinazowatesa sana kwani wanajua kabisa kuna mtu wanamtesa, mtu asie na kosa wala hatia yoyote. Wanaumia na kuteseka sana wanapoona picha za Mbowe na wale washitakiwe wengine wanapoingia na kutoka mahakamani ila kwakuwa walishafanya kosa, hawana la kufanya bali kuishi na nafsi zinzowasuta.

Hivyo, ili wakwepa hii aibu, wanatamani sana kuona Mbowe anawapigia magoti jambo ambalo mpaka sasa limeshindikana na ndion maana wanachukia sana kuona Mbowe anapongezwa kwa kusimama imara kutouza utu wake.

Anyway, muda ndio utathibitisha ni nani mnufaika wa kisiasa wa hii kesi.

View attachment 2123222
Mbowe anatembea kwenye ukweli na haki kamwe hawezi kuvisaliti kwa mateso anayopitia. Tuendelee kumuunga mkono na kumuombea sana kwa Mwenyezi Mungu.
 
Lkn Mbowe anaumia na hatujui anachokiwaza moyoni kwake. Yawezekana ukasikia kesho asubuhi amepiga magoti kuomba poo

Tatizo lipo kwa wafuasi wa Mbowe na watanzania wapenda demokrasia. Hivi imeshindikana kabisa kuliamsha dude mpk serikali na dola wakaomba poo???!

Kwa staili hii Mbowe atashikiliwa mpk uschaguzi mkuu wa 2025 upite
Aombe msamaha kwa kosa lipi?
 
Mbowe ndo mwamba wa siasa za Tanzania..watake wasitake atatoka na watacheza mziki wake
 
Back
Top Bottom