Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,117
- 3,153
Bado hawaamini kama Watanganyika wameamka na wanatolea macho maliasili zao walizopewa na Mungu.
Wamesahau kama bongo movie ilishakufa, kila mwaka graduate laki sita wanaingia mtaani na hawana kazi, wanasubiri kusoma kila tangazo la Serikali, wakaona tangazo la kuuza bandari, bwana wee wamechachamaa, hawataki kulala!