A
Anonymous
Guest
Katika jambo la kushangaza vijana wengi waliohitimu chuo Cha taifa Cha utalii wamekua na kilio kisichoisha kwani kila Ajira zinapotangazwa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wao kupata kazi imekua ngumu.. kwani mfumo wa Ajira (Ajira portal) unawakataa na hii imekuwa kilio Cha wazazi walio wengi watoto wao Kutopata Ajira huku hatima Yao ikiishia katika kujitolea bila mafanikio yoyote..
Kupitia Royal tour ya mama yetu utalii Sasa umefunguka na chuo hicho kutoa vijana wenye weredi lakini wanaishia kujitolea.. na ni chuo Cha serikali, wizara husika hili jambo linasikitisha sana.
Kupitia Royal tour ya mama yetu utalii Sasa umefunguka na chuo hicho kutoa vijana wenye weredi lakini wanaishia kujitolea.. na ni chuo Cha serikali, wizara husika hili jambo linasikitisha sana.